Recent content by jandekuka

  1. jandekuka

    Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Laiti kila anayeropoka angekuwa na akili ya kung’amua mambo yaliyojificha kama wewe, nchi yetu ingeshakuwa mojawapo katika lile kundi la G7
  2. jandekuka

    Hii form ya Manchester City wangekuwa nayo Manchester United tungekoma!

    Nakuthibitishia 4g inarudi, na Likuku linarudi kuwa Lukaku, sababu ni chache sana kama mbili tatu tuu lakini za ukweli, 1. Usajili wa January 2. FA CUP na UEFA Champions league Naamini January mou atasajili mchezaji mmoja tuu sijui mshambuliaji au kiungo lakini sio beki, hatoacha mchezaji wa...
  3. jandekuka

    Mourinho: Ningekuwa likizoni Brazil ningejua hakuna njia ya kuwazuia Manchester City

    Philosophy ya mourinho inatokana na vitu vitatu,.. 1. Msimu huu wa Christmas match mbili kwa wiki, 2. Mkorogo wa FA CUP UEFA Champions League, 3. April-May relegation fight.. Hivyo vitu vitatu vina tabia ya kuchosha na kujeruhi wachezaji sana tuu.. Hapo ndipo panapompa mou kichwa kwamba ana...
  4. jandekuka

    Jinsi Spurs atakavyomfunga Man City kesho, 16/12/2017

    Mechi ya goli nyingi kwa yoyote atakayeshinda.. Naona goli zaidi ya tano mpaka dk 90 zinakwisha.. Spurs wazuri kwa counter hawatakosa goli mbili, lakini city wazuri zaidi wakiingia kwenye half ya mpinzani wao, na wakati huo huo spurs sio wakupaki basi kivile so goli zimepungua sana mechi ya...
  5. jandekuka

    Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

    Hahahahaha... Mkuu, naweka uungwana pembeni nazungumza ya moyoni, kuna nyakati nikiangalia porno natamani nizame ndani ya kideo niwe mimi nafaidi, yaani kuna wakati naweka kipengele ninachokipenda makusudi ili mwenza aone ninavyotamani mavitu na mastaili yanayoonyeshwa kideoni... Dah lakini...
  6. jandekuka

    Mke wangu anachat sana na mwanaume mwingine

    Kinachotofautisha kijana/mvulana na mwanaume halisi ni maamuzi katika nyakati ngumu kama hizi.. Vijana/wavulana wengi watakurupuka na vipigo, vitisho, malipizi, matengano, na hata kumuuliza au kutaka uthibitisho wa jambo unalolijua bado ni ujana/uvulana (sio utoto, sitamani kuwadharau wachangia...
  7. jandekuka

    Mke wangu anataka kurudi kwao

    kuna vitu viwili sijavielewa kwako mchungaji wewe.. 1. umefunuliwaje hayo maono yako? ulivyokuwa unamtamani akipita mbele yako ndio ukahisi umefunuliwa? au jinsi ulivyokuwa unamuota ndio ukahisi umefunuliwa? nieleweshe kuhusu kufunuliwa kwako kukoje ndio nitakupa ushauri.. 2. naamini...
  8. jandekuka

    TANESCO, kuna mgao?

    kuna msg inatembea whatsapp hii hapa labda itatoa mwangaza... SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA MIKOA ILIYOUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mikoa waliounganishwa kwenye grid ya Taifa kuwa...
  9. jandekuka

    Oscar Pistorius jailed 6yrs

    miaka sita aliyofungwa, kwa sheria za South Africa, ina maana ata serve minimum 3 years ndio awe considered kwa parole lakini kwa kuwa amesha serve miaka hiyo tayari wakati wa undeshwaji wa kesi, na baadhi ya hiyo akiwa on bail, bado wanahesabu kwamba ameserve,.. msishangae kumuona akitoka...
  10. jandekuka

    Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

    chaso wajiongeze, mahafali yafanyikie kwenye kumbi za harusi au kwenye nyumba ya mtu yenye uzio wa kutosha, wanapamba magari kama wanaenda harusini wanapita mbele ya kituo cha polisi na matarumbeta, baada ya sherehe wanatuma picha mitandaoni walivyofanikisha mahafali bila kinachosingiziwa kuitwa...
  11. jandekuka

    Naweza kufa kwa hii tabia yangu ya kutozungumza, nisaidieni

    naomba nikuambie tuu ya kwamba kosa halikuwa lako na wala hupaswi kujuta.. malizia stress zako na off course malizia kipande chako cha maisha kilichobaki hopefully mbeleni kunaweza tokea muujiza na ukapata unachofikiri hakipatikani kwa mumeo wa sasa. the original kosa alifanya x wako kwa...
  12. jandekuka

    Kila kitambulisho cha Taifa kimegharimu tsh 89,800

    duuuu!! mkuu hembu pitia trilioni za bajeti ya tanzania halafu ulinganishe na hizo bilioni zako za sifuri 12, na ujiulize mwenyewe hiyo serekali ilipata wapi hizo bilioni zako za kuwapa nida wakati hata trilioni zao za sifuri 12 hazifiki huko? au ulitamani kuchangamsha genge?
  13. jandekuka

    Rais Kikwete: Sikumuelewa kabisaa Sumaye

    Sumaye aliongea jambo gumu sana kwa mtu kuliongea mbele ya wenyeji wako lakini ni kweli. Moja kwamba anaenda UKAWA kuongeza nguvu na hatimae uzoefu wakati wa kuongoza serikali.. kuna mambo mengi yapo nyuma ya pazia yanayoishia kwenye vikao vya ndani na madocument tele yaliyopigwa mihuri ya...
  14. jandekuka

    Ushauri wangu kwa wanaCCM filimbi ya kampeni ikipulizwa

    Naanza na kusema ni ushauri wangu na hukulazimishwa kusoma na wala hutakiwi kunijua zaidi ya hapa. Kwa kuwa UKAWA wameamua kupambanisha CCM wawili katika uraisi, Kwakuwa jamii ya kitanzania inajua fika sababu za kukatwa sio za kifisadi bali ni za kifamilia zaidi, Kwakuwa miaka nenda miaka rudi...
  15. jandekuka

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Swali jepesi ndugu yangu.. na sio la kishabiki.. Wakati mbowe anafanya unafiki huu wiki chache zilizopita, nyie mliokuwa mnayajua haya toka siku yanafanyika mlifanya nini? Au kumkata tuu ilitosha? Kalamagi umemtaja sana je mlimfanya nini zaidi ya kupenyeza siri na documents watu wengine ndio...
Back
Top Bottom