Hii form ya Manchester City wangekuwa nayo Manchester United tungekoma!

Barafuyamoto acha kutoa statistics za uwongo toa ushaid wa matches ambazo hao uliowataja awajacheza alafu nkutumie list nzima ya matches hzo
 
Unafikiri mungu hana akili hadi afanye ivyo?

Kiufupi man united ni team ya waimba taarabu
 
Ila makelele sio tatzo kwn fans wa Chelsea mbona wanazo nyng Liverpool na arsenal amuwez kuwa na kelele kwsababu vikombe ambebi kama amuchukui mnapiga kelele na nan mshindwe kw rombaya zenu pepo toka pepo toka kw mashabik wa arsenal na Liverpool
 
Ni hao mashabiki wa arsenal wanaopayuka humu records tu za kushinda mechi 15 c kitu tusubiri mwisho wa ligi lakini lazima tuukubali ukweli kwamba Man U ni brand kubwa duniani
 
Ni hao mashabiki wa arsenal wanaopayuka humu records tu za kushinda mechi 15 c kitu tusubiri mwisho wa ligi lakini lazima tuukubali ukweli kwamba Man U ni brand kubwa duniani
Ndo hao hao.wamekaa kitako kuijadili MAN U hawajaa fikia hata robo ya mafanikio tulionayo MAN U. .
 
Naiona Man city wanaongoza ligi historia inazungumza yakwamba atanyanyua kwapa
 
Aliyeleta huu uzi kama si fans wa arsenal basi ni livapuli maana ndo mna hasira sana na man u kisa wanawafunga sana

Mind Your Words bro! Liverpool Hatuna Tabia Ya Kuandika Post Za Mipasho

Ila makelele sio tatzo kwn fans wa Chelsea mbona wanazo nyng Liverpool na arsenal amuwez kuwa na kelele kwsababu vikombe ambebi kama amuchukui mnapiga kelele na nan mshindwe kw rombaya zenu pepo toka pepo toka kw mashabik wa arsenal na Liverpool
 
Hivi mnakumbuka wakati ligi inaanza?

Man untd walianza kwa kila aina ya mbwembwe na kujipa majina kama wazee wa 4g na mengineo..

Enzi hizo striker wao Lukaku anafunga balaa, wakaanza kuwatukana kina Morata na wengineo waliowakosa kwenye usajili

Mwisho wa siku wakaanza kula kipondo, watu wanajipigia tuu, mara ghafla lukaku wao akageuka LIKUKU..

Najaribu kuwaza hapa hivi hawa Man untd wangecheza mechi 15 mfulululizo bila kufungwa hata mechi 1 kama Man city hata hii J.F si tungeiona ya moto, tungeweka wapi nyuso zetu kwa mbwembwe zao zile...?
Nakuthibitishia 4g inarudi, na Likuku linarudi kuwa Lukaku,
sababu ni chache sana kama mbili tatu tuu lakini za ukweli,
1. Usajili wa January
2. FA CUP na UEFA Champions league

Naamini January mou atasajili mchezaji mmoja tuu sijui mshambuliaji au kiungo lakini sio beki, hatoacha mchezaji wa maana mwenye namba kwenye kikosi chake, hii itawapa confidence wachezaji kwamba bado wanacheza kwenye malengo ya kocha na confidence ni silaha muhimu sana kushinda kwenye mechi ngumu..

Mkorogo wa FA CUP na Champions league utagharimu timu nyingi kwa sababu ya kucheza mechi mbili kwa wiki, jambo ambalo mou hana wasiwasi nalo sana kulingana na upana wa kikosi chake..

Mimi kama mshabiki wa man sijavunjika moyo kabisa bado naamini tutanyanyua makwapa zaidi ya mara moja mwaka huu
 
tulia ivyoivyo maana msimu wa kushinda game 15 mfululizo unakuja...stay tuned na jiandae kisaikolojia
 
FB_IMG_1513346679385.jpg

Huwez kunyakua hizo ndoo kibao bila kufumua vitimu vidogo mara nyingi labda utuambie mpira umeanza kufuatilia kiundani kuanzia 2014

Kwa kukusaidia mashabik wa manchester hawana kelele angalia hizo ndoo iangalie tim yako iko wap kisha jiulize utaongea nn?
 
Pia hii inatoa picha ukubwa wa hii timu timu zingine hukut kufungulia thread hata zifungwe angalia matokeo ya juz watu wapo kimyaa kama hawakucheza saa tano usiku.
 
Hivi mnakumbuka wakati ligi inaanza?

Man untd walianza kwa kila aina ya mbwembwe na kujipa majina kama wazee wa 4g na mengineo..

Enzi hizo striker wao Lukaku anafunga balaa, wakaanza kuwatukana kina Morata na wengineo waliowakosa kwenye usajili

Mwisho wa siku wakaanza kula kipondo, watu wanajipigia tuu, mara ghafla lukaku wao akageuka LIKUKU..

Najaribu kuwaza hapa hivi hawa Man untd wangecheza mechi 15 mfulululizo bila kufungwa hata mechi 1 kama Man city hata hii J.F si tungeiona ya moto, tungeweka wapi nyuso zetu kwa mbwembwe zao zile...?
Man U kwa "Agricultural Coach" waliye naye huyu, hamna kitu!

majuzi alipocheza vs Guardiola (Man City), ilikuwa ni kama boyz vs men. au Kariakoo vs Koromije.
 
mkulima ana the most expensive player EPL yote lakini wapi.
mkulima analipwa hela ndefu kuliko makocah wengine wote EPL lakini wapi.
Mpira ungekuwa unajajiwa hivyo bas arsenal fala ozil,lacazatte,sanchez ntajie mchezaj wa burnley mwenye thamani karib ya hao kama sio kuinunua timu yote ya burneley? Unaijua thaman ya walker,de bryune,silva,otamend,mangala na mendy plus sterling pale pesa wewe na mshahara wa gualdiola unaujua?
 
Hapo unamaanifa pangekuwa na tafrani katika Jiji la Manchester au katika vijiwe vya wanazi wa hizo timu huko mtaani? Kama ni katika vijiwe vya huko mtaani basi naomba uniruhusu nikae kimya.Hata hivyo ni vyema kukubaliana na ukweli kwamba Manchester city wanafanya vizuri kutokana na kikosi bora na kipana pamoja na kocha bora. Ahsante

Back
Top Bottom