Mke wangu anataka kurudi kwao

Mke wangu anataka kurudi kwao

kuna vitu viwili sijavielewa kwako mchungaji wewe..

1. umefunuliwaje hayo maono yako? ulivyokuwa unamtamani akipita mbele yako ndio ukahisi umefunuliwa? au jinsi ulivyokuwa unamuota ndio ukahisi umefunuliwa? nieleweshe kuhusu kufunuliwa kwako kukoje ndio nitakupa ushauri..

2. naamini kuleta uzi huu mahali hapa, ulikuwa na lengo fulani kati ya haya.. kuchangamsha genge, kudhihaki uumini wa watu wengine, ku attract attention, kutufanya wasomaji ni mataahira, kumjaribu mungu, na kadhalika.. hembu niambie lipi kati ya hayo lilikuwa lengo lako au kama halipo hapo basi litaje..

ukinipa majibu hayo mawili nitakushauri kadiri ulivyoomba ushauri wako na ushauri wangu utalingana na majibu uliyoyatoa.. ahsante
 
Pole sana ndg.

Napenda kufahamu ulifunuliwa kwa namna gani kuhusu kumuoa huyo mdogo wa mke wako?

Tuanzie hapo ili tuupine kwanza huo ufunuo wako kama ulitoka kwa mungu au ilikuwa ndoto ya kawaida tu.
 
Pole mkuu! "Wanawake wana vitimbi,na tena vitimbi vyao ni vikubwa."
 
Wadau shalom

Bwana asifiwe

Mwaka 2014 mke wangu aliingiwa na tamaa yeye na wenzie wakajitenga na kanisa wakaenda kufungua huduma yao mahala pengine, hawakua na eneo hivyo wakawa wanatumia darasa la Shule ya msingi hadi sasa wako humo, aliendelea kuishi na mm kwa miezi kama 2 hivi baadae akabeba kila chake akaondoka

Baada ya mwaka Bwana akawa amenifunulia nichukue mdogo wake ambae yeye hakuhama kanisa kumfuata dada yake, basi tangu mwaka Jana mwezi may tunaishi pamoja na huyu mdogo wake Kutokana na MUNGU kutufunulia hivyo katika maono, kukawa na kama mgogoro hivi maana ukoo wao wote waliamia kule kwa mke wangu wa awali pamoja na wakwe zangu wanaabudu huko sasa hivi,

Hivi karibuni mke wangu mpya anadai amechoka na ugomvi na amechukiwa na wazazi wake kwa sababu amebaki kwangu sasa ameona hawezi kuendelea hivi, hivyo yeye ameona arudi ahamie kwa dada yake Ingawa ana mimba yangu kubwa tu, anasema ameona akapatane na dada yake akaenda kuomba msamaha , hawawezi kuishi kwa uhasama, hivyo akawa ameondoka mwanzo wa hii wiki,
Nikawa nimeomba kikao nao wote kujua hatma ya watoto wangu wawili na huyo ambae hajazaliwa, wamenijibu hovyo sana kwamba Sina changu, ila huyu mjamzito inaonekana yy anasukumwa tu bado ananipenda

Hata Kuna wakati nilisingiziwa kutembea na mke wa muumini wangu kumbe ni yule aliekua mke wangu aliehama kanisa ndie pamoja na wenzie wachache ndio walitengeneza Mpango ule ili niondolewe kama mchungaji mkuu iliposhindikana ndipo wakaenda kuanzisha huduma yao, lakini MUNGU akanipigania bado huduma yangu ndio kubwa wao bado wanasali kwenye darasa, sasa wameamua wamrubuni huyu binti (mke wangu wa sasa) na wamemtoa wanae huko wanadai watamtenga hivyo akaogopa, ila kwa kweli mm nampenda sana, tangu ameondoka jumatatu naumwa homa kali sana, sijatoka hata ndani, sikua najua nampenda huyu binti kiasi hiki alivyoondoka juzi

Sasa watu wa MUNGU sijui mnanishauri nifanyeje, niweze kupata haki yangu bila kudhuru image ya kanisa letu, na huyu binti nifanyeje aweze kurudi maana hata kula imekua shida kwangu,
Sasa hivi wamenibadilishia kibao wanadai nimemsaliti ndoa kwa kuchukua mdogo wa mke wangu wakati yeye ndie alikimbia nyumba
Usilitaje bure jina la BWANA MUNGU WAKO
 
Kwanza wewe ni kahaba kama huyo aliyeondoka tu.
Ondoa ushetani wako humu JF au ushauriwe na makahaba wenzako..u bring u sheets in JF.
 
Lucifer mkubwa unaishi na mdogo wa mke wako mnazini tena hamjafunga ndoa halafu unatuletea habari chafu kiasi hiki? Wanaume mfikirie kwa kutumia ubongo na si mihemko. Shame on you. How daring running with your in-law? Huna adabu kwa jamii kabisa.
 
Afu unajiita pastor,alokushauri umuoe mdogo wa mkeo ndo ukamuombe pia akushauri kuhusu hili!
 
Sasa si urudi kwa mungu aliyekufunulia akupe ufumbuzi? Sisi hili jambo liko juu ya uwezo wetu kama wanadam...

Umemaliza kila kitu mkuu. Jamaa ni mzinzi tu na hana la zaidi..., sijui ni biblia gani anatumia huko kanisani kwake maana..., Ee Mungu uturehemu sisi waja wako.
Mleta uzi angetutajia na jina la kanisa lake pamoja na la mkewe ili story yake ieleweke vzr !!
 
Wadau shalom

Bwana asifiwe

Mwaka 2014 mke wangu aliingiwa na tamaa yeye na wenzie wakajitenga na kanisa wakaenda kufungua huduma yao mahala pengine, hawakua na eneo hivyo wakawa wanatumia darasa la Shule ya msingi hadi sasa wako humo, aliendelea kuishi na mm kwa miezi kama 2 hivi baadae akabeba kila chake akaondoka

Baada ya mwaka Bwana akawa amenifunulia nichukue mdogo wake ambae yeye hakuhama kanisa kumfuata dada yake, basi tangu mwaka Jana mwezi may tunaishi pamoja na huyu mdogo wake Kutokana na MUNGU kutufunulia hivyo katika maono, kukawa na kama mgogoro hivi maana ukoo wao wote waliamia kule kwa mke wangu wa awali pamoja na wakwe zangu wanaabudu huko sasa hivi,

Hivi karibuni mke wangu mpya anadai amechoka na ugomvi na amechukiwa na wazazi wake kwa sababu amebaki kwangu sasa ameona hawezi kuendelea hivi, hivyo yeye ameona arudi ahamie kwa dada yake Ingawa ana mimba yangu kubwa tu, anasema ameona akapatane na dada yake akaenda kuomba msamaha , hawawezi kuishi kwa uhasama, hivyo akawa ameondoka mwanzo wa hii wiki,
Nikawa nimeomba kikao nao wote kujua hatma ya watoto wangu wawili na huyo ambae hajazaliwa, wamenijibu hovyo sana kwamba Sina changu, ila huyu mjamzito inaonekana yy anasukumwa tu bado ananipenda

Hata Kuna wakati nilisingiziwa kutembea na mke wa muumini wangu kumbe ni yule aliekua mke wangu aliehama kanisa ndie pamoja na wenzie wachache ndio walitengeneza Mpango ule ili niondolewe kama mchungaji mkuu iliposhindikana ndipo wakaenda kuanzisha huduma yao, lakini MUNGU akanipigania bado huduma yangu ndio kubwa wao bado wanasali kwenye darasa, sasa wameamua wamrubuni huyu binti (mke wangu wa sasa) na wamemtoa wanae huko wanadai watamtenga hivyo akaogopa, ila kwa kweli mm nampenda sana, tangu ameondoka jumatatu naumwa homa kali sana, sijatoka hata ndani, sikua najua nampenda huyu binti kiasi hiki alivyoondoka juzi

Sasa watu wa MUNGU sijui mnanishauri nifanyeje, niweze kupata haki yangu bila kudhuru image ya kanisa letu, na huyu binti nifanyeje aweze kurudi maana hata kula imekua shida kwangu,
Sasa hivi wamenibadilishia kibao wanadai nimemsaliti ndoa kwa kuchukua mdogo wa mke wangu wakati yeye ndie alikimbia nyumba
Hivi na wewe unajiita mchungaji???? Unaishi na mwanamke bila ndoa??? Halafu bado unampachika mimba mdogo wa mkeo??? Hata huoni aibu kuandika mistaari zote hizi unaomba ushauri?? Ushauri wangu wewe ni kahaba tu..na usipo tubu ba kuomba msamaha kiama chako chaja..
 
sina uhakika kama story yako ni ya ukweli...ila niandike kwa manuafaa ya wote...
hakuna maono ya kimungu yanayopelekea mtu kutenda dhambi hilo lazima ulijuwe kwani huwezi sema kuwa kwa vile mke wako alikuacha hata kama ni mazingira ya namna gani,ndio Mungu akuruhusu uoe....kwani Neno au sheria za Mungu za imani yoyote huwa hazijipingi.na kama imani yako ni ya mke mmoja ni mke mmoja hadi kifo tu na sio kutengana...
kingine inaonekana ndani na mke wako mlikuwa hamuelewani na huenda mke wako ana roho au tabia ya YEZEBELI...ya kutaka madaraka ambayo kimsingi hawezi kuyapata kwani yeye ni mwanamke xo akaamua na yeye awe kichwa yaani awe na wafuasi kitu ambacho ni makosa na katika huduma hiyo hakuna baraka za kimungu ila ni kumtumikia shetani kwa asilimia mia moja...
kwa sababu hizo kati yenu hapo hakuna hata mmoja anayemtumikia Mungu aliye hai yaani SIMBA WA KABILA LA YUDA ZAIDI YEHOVA YHILE.... ila unamtumikia shatani na hao watu mlionao kwa asilimia zote hawajamkili Yesu kuwa ndio Mungu wao ila kama sio wote basi wengi wao ni wachawi tu na ni mawakala wa shetani na haujawajuwa...
kwa ushauri ni kwamba fungeni kanisa wote na muende mtafuke kazi zingine mfanye na kama unania njema kabisa mtafute mchugaji mwenye uelewa mkubwa juu ta Mungu na mkubali kuwa washilika kabisa bila hata kuwa mashemasi ili roho zenu zipone....
asante..
 
Mkuu sasa kondoo si wapo wengi sana hapo? Tafuta tu hapo tena wale wenye mikia iliyo nona! Chukua tu mkuu jilie minofu ya kondoo
 
Back
Top Bottom