Recent content by Jamsuldash

  1. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

    One The Incredible Dogo Janja Wakazi
  2. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa dar vs Mafundi wa mikoani

    [emoji23] [emoji23]
  3. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania One incredible vs stereo

    "Ningependa niwe yule unayemtaka, unayempenda, unayemjua, yule aliyekuondoa mashaka aliyekuacha alipozingua, niwe dira yako unapotaka safiri kifikra, nitakupeleka mpaka mahaka hujawahi fika, hujawahi shikwa ka guitar la kispanyora nikapiga code itoe ala haijawah sikika" Moko wa miujiza ni habari...
  4. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Kwanini Comedians wa MIZENGWE wanapotezewa sana?

    Sasa sijui unataka tuambia huyo Kevin Hart huwa anafanya vitendo bila maneno kwenye stand up comedy. Nahisi hujui unachokizungumzia.
  5. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Is Drake taking aim at J Cole?

  6. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania, haya yatawaondoa sokoni

    Endapo Vodacom watakurekebishia hayo matatizo yako mawili uliyoanza kuyataja utaendelea kuwa mteja wao? au hii ndio promo kwa upande wa pili unakosubiri?
  7. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Mazoezi tu

    hawa ndio wanakuja kuwa vijeba wanaokuja sumbua huku uswahilini....
  8. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke mwenye makalio makubwa original tuoane

    masharti ya mganga hayo si buree
  9. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Msaada wako ni muhimu sana. . .

    Kwenye game la FIFA 2014 nikitaka Suarez amng'ate mchezaji mwenzake nabonyeza buttorn ipi?
  10. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye akili nyingi?

    Mzungu gani anaongea kibongo!!! Au alikuwa Mhaya.:A S wink: kumbe wahaya ndio wanaongea kibongo. . .haya nitumie namba yako nikutumie jero yako.
  11. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye akili nyingi?

    Baada ya kubishana kwa muda mrefu, mbongo na mzungu wakafikia hapa Mzungu: nakuuliza swali ukikosa unanipa sh 500 na wewe utauliza nikikosa nakupa sh 10,000. Mbongo: poa anza mambo. Mzungu: ni mnyama gani anaweza kaa muda mrefu bila kula chakula na anaweza fikisha muda gani katika hali...
  12. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mbongo sasa!

    Ukuta wa ikulu uliharibika, wakandarasi waliitwa na kuambiwa atakayejenga kwa ubora mkubwa ila kwa bei nafuu ndiye atakayepewa kazi. Mjerumani: nitajenga kwa mil 90 yaani 40 ya vifaa, 40 ya wafanyakazi na 10 ndio faida yangu. Mchina: nitajenga kwa mil 70 yaani 30 ya vifaa, 30 ya wafanyakazi na...
  13. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Msaada: kutunza data ndani ya flash drive/memory card

    Nina memory card ambayo ukiiweka kwenye simu ama computer inahitaji niiformat kabla sijaanza itumia. Nami nina vitu ambavyo ninahitaji nivitoe kabla sijaiformat. Naombeni msaada wa jinsi ya kutunza na kuzipata data zangu. . .
  14. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Niambie technology gani?

    kuna hii kitu ya chuma ulete na kutumia msukule kama robot
  15. Jamsuldash

    JamiiForums Tanzania Ukurutu au fangasi

    Hicho ni kitu cha PE. . .
Back
Top Bottom