Mafundi wa dar vs Mafundi wa mikoani

Mafundi wa dar vs Mafundi wa mikoani

Kabla sijaufungua kwa kusoma title nilijua ni uzi wa maana...!
 
Mnawadhihaki wafundi wa Dar ambao wanajenga Magorofa marefu na Imara kuliko ya huko Mikoani.

Mkija Dar mnaanza kupiga selfie hadi kwenye masink ya msalani.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom