Mh! Pengine anamtuliza jamaa asiwe na haraka bado wako kwenye majadiliano!
Hii inanikumbusha enzi za Pugu Sec na maji ya Pondi.... Full fangas... enzi za maendeleo 4...
hiyo ni tabia ya wahindi pia unakuta unaongea nae unaona anajikuna hahaahah nachukia sana
Nambie mzee wa Pondi, nimeimisi Ujamaa 1.
Mabagala anasoma PHD pale UDSM nasikia yupo idara ya Physical Education.Mkuu unakumbuka vurugu za mwalimu mabagala??... Mambo ya ukimbizana. Vp pale kwa Mombeki...
Mabagala anasoma PHD pale UDSM nasikia yupo idara ya Physical Education.
Mabagala anasoma PHD pale UDSM nasikia yupo idara ya Physical Education.
Jamaa alikuwa na yeye anataka kutoka aongee na simu maana aliona kama huyo mkaka anachelewesha mambo.Mh! Pengine anamtuliza jamaa asiwe na haraka bado wako kwenye majadiliano!