Vodacom Tanzania, haya yatawaondoa sokoni

Dona Kantri

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
346
Reaction score
115
Wanajamiiforum ninawasalimu,

Ni Siku ya tano sasa laini yangu ya Voda inasumbua, matatizo makubwa mawili,

1.Ndugu wakinipigia simu wanaambiwa namba hiyo haipo
2.Nikitaka kujiunga kifurushi cha dakika za calls inaniambia service is not available...

Nimewasiliana na customer services kila ninae mkuta online anamajibu yake ambayo hayatatui tatizo.

Vodacom siku zenu sokoni zinahesabika, ni kampuni gani hiyo isiyowajali walaji wake? Huduma mbovu, bei juu, kampuni haifanyi research kubaini matatizo ya Wateja wake mmeconcetrate upande wenu tu..

Kampuni gani halitumii marketing devices kunadi huduma zake! Tunangoja kesho hao jamaa wa Halotel wakija vizuri almost asilimia 75 ya wateja wenu watapokonywa.....

Endeleeni na biashara zenu za kikoloni!
 
Yaan tumewachoka tigo voda wanakubaliana kutuumiza wateja wao washaona shamba la bibi yaani hao halotel kama watakua poa line natupa kule
 
Kwani vodacome hulazimisha mtu kuwa mteja wao? Ukiona kampuni inatoa huduma mbovu tena kwa makusudi basi ujue Tatizo sio hiyo kampuni Tatizo ni wateja wake.
 
Vodacom haitakaa ipoteze wateja 75% kama unavyosema.
Kitakachotokea ni watu kumiliki line mbili kupima ubora.
Ni kama tigo walivyoingia, pamoja na kuwa na offer nyingi voda ilizidi kuongeza wateja.
Na tigo ikaishia kuitwa mtandao wa wanafunzi.
Vodacom sihami hadi watakapozima mitambo yao yote.
 
Endapo Vodacom watakurekebishia hayo matatizo yako mawili uliyoanza kuyataja utaendelea kuwa mteja wao? au hii ndio promo kwa upande wa pili unakosubiri?
 
Voda ni marehem mtarajiwa kuanzia kesho nahama line mambo ni halotel
 
Mnamtaka Lowassa hamjui anawapiga huko huko Voda? mmeliwa sana
 
Wanajamiiforum ninawasalimu,

Ni Siku ya tano sasa laini yangu ya Voda inasumbua, matatizo makubwa mawili,

1.Ndugu wakinipigia simu wanaambiwa namba hiyo haipo
2.Nikitaka kujiunga kifurushi cha dakika za calls inaniambia service is not available...

Nimewasiliana na customer services kila ninae mkuta online anamajibu yake ambayo hayatatui tatizo.

Vodacom siku zenu sokoni zinahesabika, ni kampuni gani hiyo isiyowajali walaji wake? Huduma mbovu, bei juu, kampuni haifanyi research kubaini matatizo ya Wateja wake mmeconcetrate upande wenu tu..

Kampuni gani halitumii marketing devices kunadi huduma zake! Tunangoja kesho hao jamaa wa Halotel wakija vizuri almost asilimia 75 ya wateja wenu watapokonywa.....

Endeleeni na biashara zenu za kikoloni!

Nimejiunga kifurushi cha Saa 24 saa tatu usiku halafu saa 12 asubuhi nutumiwa msg muda wa kifurushi chako umekwisha? Huu ni wizi
 
kesho ninahama rasmi vodacom nahamia halotel. bye bye vodacom jamaa wanaspeed ya kutisha
 
Wanajamiiforum ninawasalimu,

Ni Siku ya tano sasa laini yangu ya Voda inasumbua, matatizo makubwa mawili,

1.Ndugu wakinipigia simu wanaambiwa namba hiyo haipo
2.Nikitaka kujiunga kifurushi cha dakika za calls inaniambia service is not available...

Nimewasiliana na customer services kila ninae mkuta online anamajibu yake ambayo hayatatui tatizo.

Vodacom siku zenu sokoni zinahesabika, ni kampuni gani hiyo isiyowajali walaji wake? Huduma mbovu, bei juu, kampuni haifanyi research kubaini matatizo ya Wateja wake mmeconcetrate upande wenu tu..

Kampuni gani halitumii marketing devices kunadi huduma zake! Tunangoja kesho hao jamaa wa Halotel wakija vizuri almost asilimia 75 ya wateja wenu watapokonywa.....

Endeleeni na biashara zenu za kikoloni!

Kaa ukitambua asilimia 75 ya minara ya halotel wamekodi ya vodacom ahahhahahaa

Aliyewahi kawahi tu kaka
 
Kukodi minara sio kitu kigeni. Wanalipia na wanaweka mitambo yao ya mawasiliano. Infact suala la kuweka kukodi minara lipo dunia nzima. Hata Vodacom hiyo minara una uhakika ni yao yote?
 
Nimejiunga kifurushi cha Saa 24 saa tatu usiku halafu saa 12 asubuhi nutumiwa msg muda wa kifurushi chako umekwisha? Huu ni wizi

Mkuu tatizo kama lako limenikuta kwa airtel hamna jinsi hapa nikwenda halotel
 
Tatizo sio mitandao,nadhani TCRA wanahusika kwa kiasi flani kwenye maswala ya udhibiti
 
Attachments

  • 1444847399112.jpg
    1444847399112.jpg
    71.6 KB · Views: 148
Back
Top Bottom