Recent content by jamiif

  1. jamiif

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti; Wadada wengi humu ni 'single mothers' na wana 'stress' za kukosa wachumba

    hili neno
  2. jamiif

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeshika simu ya mpenzi wangu, sina hamu naye

    hilo neno!
  3. jamiif

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Misungwi amdhalilisha mwalimu mbele ya wanafunzi wake

    mie tungeelewana vibaya!
  4. jamiif

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

    hii nchi ni jipu
  5. jamiif

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji kupanga nyumba ya laki 5 kwa mwezi??

    watakuwa ma vyanzo vingine jamani..si kama wafanyakazi mfano serikalini au hata sekta binafsi wengine mishahara kidg ila wana ishu za nje ya hapo hivyo wanaweza kufanya lolote kwa kuwa mtu anakuwa hategemei mshahara peke yake...hata mie pia nina ishu zangu za nje...mishahara haitoshi...
  6. jamiif

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia imekwisha

    mie kwa upande wangu haya masuala ya imani kila mtu linamhusu yeye kama yeye na sioni sababu ya kukomaa kumtaka mtu aamini unachoamini wewe au kufanya unavyoexpect wewe..nobody is perfect, na wote tutakufa na kila mmoja atakwenda kudeal na namna alivyoishi maisha yake hapa duniani...so kila mtu...
  7. jamiif

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufanya harusi ya milioni 20 huku unaishi kwenye nyumba ya kupanga ni aibu

    ...majungu flani amazing
  8. jamiif

    JamiiForums Tanzania Injinia Mramba wa TANESCO, ajira yako imeshikiliwa na uzi mwembamba ajabu!

    kha! hii kali! tuache majungu jamani tufanye kazi tusake ugali wetu na familia zetu...
  9. jamiif

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makubwa yaibuka baada ya kutega camera ya kalamu chumbani

    Hata mi sijamuelewa hapo...katega mtego wa kamera kisha rafiki wa mkewe...! Mh! Chai ya moto sana hii mweeh!
  10. jamiif

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wake zenu wapo kama huyu wangu?

    Umenena vema!
  11. jamiif

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kutooa wapenzi wao wa muda mrefu

    ...ngoja niwe msomaji wa comments kabla sijakonkludi😎
  12. jamiif

    JamiiForums Tanzania Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    inasikitisha sana
  13. jamiif

    JamiiForums Tanzania Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

    lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  14. jamiif

    JamiiForums Tanzania Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

    mi kura yangu ni kwa lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  15. jamiif

    JamiiForums Tanzania Mshindi Oktoba 25 (mathematical analysis)

    In Shaa Allah itakuwa hivyo...!
Back
Top Bottom