Hivi wake zenu wapo kama huyu wangu?

Hivi wake zenu wapo kama huyu wangu?

Kama una nia ya dhati kumsaidia mdogo wako mtafutie mtaji umpe...au unaona raha anavyokuja hapo kwako kuomba omba????

Pia kama unajua mkeo ana ghubu kwa nini unapotaka kuwasaidia usimtembelee nduguyo kwake ukampa ulichonacho itasaid8a kupunguza makelele yasiyo ya lazima.

Kwa kua ni mchoyo wakija ndugu zake si umwambue huna hela fanya hivyo kama mara 5 hivi halafu mkae mzungumze

Kukujibu swali lako hapo chini...Wake zetu hawako hivyo...
 
Pole, mkeo ni mama wa nyumbani? Huwezi acha kumsaidia ndugu yako wakati kweli ana shida..... Ila jitahidi umtafutie kazi ili apate namna ya kupata pesa kuliko kutegemea msaada wa pesa kutoka kwako

Umenena vema!
 
Tatizo hapo sio utegemezi....tatizo ni 1. uchoyo
2. Kula leo mtu anaenda kuomba wakati mwenyewe mchana labda kapiga pasi ndefu????
3. Mwanaume kama anaakili angemtafutia kimtaji ndugu yake....sio kumpa vijisenti ambavyo havisaidii

Teh teh...Sawa mpendwa..

Ila Unaona wanawake tegemezi wanavyokuwa na lawama zisizo na maana sometimes
 
Kutoa msaada kwa ndugu au hata rafiki ni jambo umoja na upendo, ila kumsaidia mtu kila mara kuumpa "samaki" akale wakati unazo "ndoano" za kumpa akavue mwenyewe sio sawa.

Kama una "Ndoano" mpe akavue "samaki"....
 
Yaaani huyo mkeo ni mchoyo wa wazi kabisa tena asie na haya!! Wengine hata km shemeji akija kupiga mzinga hadi ujenzi ukisimama... Tunaugua kindanindani bila kuuliza Mara tano tano maana ukishaambiwa ana shida na shida haina macho kwamba ichague Huyu na yule... !!!! Pole hatuko hivyo sie wake za watu.
 
Mbwa huyo, mimi ni mwanamke na wanawake wa aina hiyo ndio wanaovuruga mahusiano ya ndugu na familia, tunang'ombe ya aina hiyo iliolewa na kaka yangu kwa tamaa ya pesa akaenda mloga mpk kaka yangu.
Aisee kumbe haya mambo yapo?
 
Mpendwa acha akae nyumbani tu..Si uwa mnasema nyie jukumu lenu ni kuzaa kwa shida tu basi

Mpendwa nilieshauri atafutiwe kazi ni mdogo wa jamaa sio mke, ni Kweli jukumu la mke ni kuzaa kwa uchungu kula kwa jasho ni kuingilia jukumu lisilomhusu
 
Kaka simama kiume na usimamie maamuzi yako,kaa na mke wako ongea nae huku ukimweleza ukweli na faida ya kusaidia watu wenye shida,hakikisha utakachokokisema unakisimamia.
Onyesha kukerwa na tabia yake na mpe mda wa matazamio ili kuona kama alielewa somo na yuko pamoja na wewe.
Hakikisha huyumbishwi na unasimamia maamuzi yako
 
Mbwa huyo, mimi ni mwanamke na wanawake wa aina hiyo ndio wanaovuruga mahusiano ya ndugu na familia, tunang'ombe ya aina hiyo iliolewa na kaka yangu kwa tamaa ya pesa akaenda mloga mpk kaka yangu.

Umeolewa mbwa mkubwa?
 
Mbwa huyo, mimi ni mwanamke na wanawake wa aina hiyo ndio wanaovuruga mahusiano ya ndugu na familia, tunang'ombe ya aina hiyo iliolewa na kaka yangu kwa tamaa ya pesa akaenda mloga mpk kaka yangu.

I'm sorry to say this..aliyekuoa kala hasara.
 
kuna Wanawake waajabu sana! As long as una uwezo wa kusaidia ndugu why shouldnt you? umeshajua katabia kake baasi kapuuzie na siku nyingine mkanye kabisa aone ndugu wote sawa.Ndoa ndiyo hivyo kuvumiliana na madhaifu yetu.
 
Ni kawaida ya wanawake mkuu...hapo ukilemaa anakupanda kichwani kabisa.just balance Kati yake(familia yako) na ndugu zako.
 
Back
Top Bottom