Recent content by jamiha

  1. jamiha

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

    Ila kiukweli...mwenyewe najiulizaaa sipati majibu.....wenye kuujua ukweli tafadhali...mkuje.
  2. jamiha

    JamiiForums Tanzania Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    Kumbeeeeee.
  3. jamiha

    JamiiForums Tanzania Tunaendelea kumuonea aibu, kumlinda na kumsitiri

    Nimependa ufafanue mkuu...ili wakuelewe zaidi nami nikiwemo.
  4. jamiha

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri ya private O-level Arusha au Moshi

    Kuna shule ipo mby....ni zaidi ya shule...inaitwa Ntonzo ni mpya...imeanza mwaka huu...kama hauyojali mpeleke....sio lzm moshi tuu na A town. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. jamiha

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi Donald Trump hataapishwa Januari 20

    Teh nacheka tuu mimi
  6. jamiha

    JamiiForums Tanzania A day in the Buddhist college

    Owkay nimekuunderstand
  7. jamiha

    JamiiForums Tanzania Mimba za kuzimu

    Tax kwa funzo zuri
  8. jamiha

    JamiiForums Tanzania A day in the Buddhist college

    Umeulizwa hapo juu VP kuhusu gharama za usafili nk....ukasema tulipelekwa na dini....ndo nauliza no dini gani?
  9. jamiha

    JamiiForums Tanzania Jinsi walimu tulivyoanza kugawanywa kimatabaka awamu ya tano

    Acha ujinga wewe awe mzalendo kwa kutumia pesa yake ya mkononi kusimamia ishu za kiserikali....umelopokaa haujafikiri.
  10. jamiha

    JamiiForums Tanzania A day in the Buddhist college

    Wewe ulipelekwa na dini gani? Nimeona hapo juu.
  11. jamiha

    JamiiForums Tanzania Kichekesho: Eti msanifu wa UKUTA ya CHADEMA ni John Mrema!

    Huyu dingo ni kibaraka Mkubwa wa CCM.anasimamaje kuwapinga Lowasa na Sumae..Then ktk kauli yake anasema Mwaka 95 aliposimama kujifanya kaonewa(kaibiwa kura)...hili neno nilipojifanya mnaonaje wadau.
  12. jamiha

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mmmm ndio unaweza kuwa na dereva mzuri asiyejua mwelekeo.....Na hii ni hatari coz unaweza kujikuta unatumbukia mtoni....kama tulivotumbukia kwenye mtaro wa sukari najua hii imekua ni ajari ya ghafra ambayo JPM hakuitegemea....najua tutatoka ktk huu mtaro lkn sijui ni mpaka lini coz hii...
  13. jamiha

    JamiiForums Tanzania Sipendi kusikia kuhusu ajira za walimu

    Basi mkuu hatuelewani! Asante kwa mchango pia.
  14. jamiha

    JamiiForums Tanzania Sipendi kusikia kuhusu ajira za walimu

    Kambi popote mdau....mwalim kama mjeda 2; as long as Sifi... Ni amani 2.
  15. jamiha

    JamiiForums Tanzania Sipendi kusikia kuhusu ajira za walimu

    Mwl. Unaakili sana wewe...umeelewa nini nilikimaanisha
Back
Top Bottom