Tunaendelea kumuonea aibu, kumlinda na kumsitiri

Tunaendelea kumuonea aibu, kumlinda na kumsitiri

Wanaonufaika na muhula wake kamwe hawawezi kukuelewa, watakutupia mawe na kumtukuza kwakuwa anawafaa wao na familia zao(ubinafsi).
Kuna wenye hofu kwakuwa mali walizonazo hawawezi kuzitolea maelezo kwahiyo hawana budi kumpigia makofi hata akipumua hewa chafu ili tu kujinusuru.
Wapo waliopewa vyeo/madaraka kwa wengine kupokwa, watasemaje na wapo ndoani, kulala bila nguo ni lazima sio hiyari.
Wapo wakongwe toka awamu zote wanatetemeka kila wawapo, hawali, hawanywi, hawalali kwa raha kwa kumhofia maana wana madhambi yao tofautitofauti waliyoyatenda awamu zote yanawagharimu kuyalinda kwa kukaa kimya kama misukule.
Kwa ufupi mtu/watu safi wanaoweza kusimama imara na kusema bila woga ndani ya chama chake hawapo na hawatazaliwa ndani ya chama hicho kongwe.
Uthubutu huo upo ktk vyama vya upinzani tu basi mfano mzuri Tundu Lisu.
Umesema karibu kila kitu.Ubarikiwe sana.
 
Kila mtu apambane na hali yake. Kumsema vibaya aliyepewa mamlaka na katiba aiongoze nchi wakati anaongoza ni kawaida, hatujawahi kumsifia yoyote aliyepo madarakani, kazi yetu kuwasema vibaya tu.... kila aliye madarakani kwetu hafai,,, ila akitoka na akija mwingine ndo tunaanza kumsifia aliyetoka kuwa alikuwa bora..... rejea JK alivyokuwa anasemwa dhaifu, mara nchi imefika mwisho, saivi anavyosifiwa na watu kumtamani.

Hata huyu tutamsifia akitoka, maisha lazima yaendekee
 
Vipi hutaki tuongelee Unkurunzinza wa Mbowe, kwa kuwa Mbowe alibadili katiba ya CDM 2016 na kuondoa term limits unafikiria na Magu atafanya ujinga huo huo? Hivi uchaguzi wa mwenyekiti CDM umefutwa tena, tangu 2013 hadi leo ni miaka 6 sasa, katiba ya CDM inakanyagwa ila upo hapa kuanzisha mada za kufikirika.
Wala hatutaki atoke! Yaani Ccm mtangoja sana; labda mumpyu pyu pyu; kama mlivyozoea!
 
Mimi nataka niyajue hayo mazuri ya kutupumbaza halafu nitacomme
 
Nkurunzinza Mbowe ni mwenyekiti wako wa kudumu umeshindwa kumtoa unaanzia kurukia kwa mambo ya kufikirika ya JPM. Pambana na Nkurunzinza Mbowe kwanza ndio uanze kufikiria ya kufikirika yako.
Wajinga mara nyingi hupindisha maada. Nyie mwenyekiti wenu ni rais, mbona hambadili kofia 2???
 
Mjinga ni yule anayetulisha matango pori utadhani hatuna macho na masikio
 
Watu bado hatutaki kuamini huyu mtu ni tatizo,anatutia umasikini na hana nia njema na nchi hii.

Watu hawataki kujiuliza ana agenda gani hasa na nini anakitafuta au anafanya maandalizi ya jambo gani huko mbele.

Watu wamebaki kumtukuza kwasababu ya nafasi yake, na wale wote wanaojaribu kuhoji au kufichua yanayoendelea, wanaishia kushambuliwa na wale wa upande wa pili ambao kwa ujinga tu wanafurahia bila kutafakari au kujua kesho itakuwa ni zamu yao.

Mtakuja kushituka kapata majority anayoitaka na atabadilisha vifungu ili kujiimarisha then wote mtakuwa kama vijakazi wake.

Kama leo hii anatoa maagizo nyinyi wa chama chake mjieleze kwa kutokuwepo mjengoni na taarifa za gazeti moja la jana kuwa ni kweli mmeanza kujieleza, ni lazima mjiulize hali itakuwaje huko mbeleni iwapo atafanikiwa katika azima yake hii.

Haya yote mnayoyaona anayafanya na ambayo yanaokenekana ni mazuri yana lengo moja tu la kuwapumbaza na kuwafanya msiwaze nje ya box na ndio maana anatumia nguvu kubwa sana ya media hata kwa mambo ambayo ni ya kawaida kabisa.

Mpaka sasa ameshaonyesha dalilili zote na ndio maana watu makini hata kwenye chama chake kwa sasa wanajizuia kumuonyesha kumuunga mkono tofauti na siku za mwanzo.

He is there not only to stay, but also to do anything whether you like it or no.

Uzuri JF ina-keep records, iko siku mtaurejea huu uzi na kusema watu mnaona mbali.

Time will tell.
wewe unatakaje yani tuwahoji walimu peke yao wasipo ingia dalasani ila hawa wanaolipwa posho ya kukalia kiti tuwaache ,ndiyo wewe umeona niajenda gani ya siri hebu tupe hapa ili tulinganishe harafu tukuunge mkono tofauti na hivyo itakua huna hoja niroho mbaya,kumbuka japo huamini jamaa katumudu iliyobaki ni mbwembwe tu.
 
CCM inaburuzwa kuliko hata buzi linavyoburuzwa na nyumba ndogo ! mtu mmoja anajiamulia kila jambo as if wengine ni mifugo yake ! unajua pamoja na Utukufu aliokuwa nao Bwana Yesu bado alikuwa anapokea busara za wanafunzi wake .
Mkuu haya yasikupe shida ndio ndivyo walivyo binadamu wa kaliba ya hawa wa ccm.
Hata Mugabe tuliambiwa anaungwa mkono na 90% ya Wazimbabwe wote, lakini siku ile jeshi linamchomoa (ingawa kwa heshima kwa vile wametoka naye mbali sio wakusukumiziwa) 90% hiyo hiyo ndio iliyoingia barabarani kushangilia kumng'oa
 
Kwa akili ya duniani unaweza kudhani chadema ilianzishwa na Mtei lakini ukisoma vizuri vitabu vitakatifu utagundua kwamba Chadema imeanzishwa na Mungu mwenyewe ( nitafafanua ukipenda )
Nimependa ufafanue mkuu...ili wakuelewe zaidi nami nikiwemo.
 
Mkuu nitolee utata huu..
Hivi were no jinsia gani? I'd yako haieleweki
Naona Chadema wenyewe hawana shida na Mbowe lakini CCM ndiyo wameshika bangoMbowe aondoke sasa sijui wana mpango wakuweka pandikiz ilao?
 
Kuwapo madarakani muda mrefu sio tatizo, tatizo ni kuwepo madarakani kwa muda mrefu bila kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja.

Kwa spidi yake, mie natamani JPM awe MFALME kabisa, maana kwa miaka takribani 50 tumegundua kuwa Demokrasia ya vyama vingi ni upumbafu na ushenzi...!!
Watu bado hatutaki kuamini huyu mtu ni tatizo,anatutia umasikini na hana nia njema na nchi hii.

Watu hawataki kujiuliza ana agenda gani hasa na nini anakitafuta au anafanya maandalizi ya jambo gani huko mbele.

Watu wamebaki kumtukuza kwasababu ya nafasi yake, na wale wote wanaojaribu kuhoji au kufichua yanayoendelea, wanaishia kushambuliwa na wale wa upande wa pili ambao kwa ujinga tu wanafurahia bila kutafakari au kujua kesho itakuwa ni zamu yao.

Mtakuja kushituka kapata majority anayoitaka na atabadilisha vifungu ili kujiimarisha then wote mtakuwa kama vijakazi wake.

Kama leo hii anatoa maagizo nyinyi wa chama chake mjieleze kwa kutokuwepo mjengoni na taarifa za gazeti moja la jana kuwa ni kweli mmeanza kujieleza, ni lazima mjiulize hali itakuwaje huko mbeleni iwapo atafanikiwa katika azima yake hii.

Haya yote mnayoyaona anayafanya na ambayo yanaokenekana ni mazuri yana lengo moja tu la kuwapumbaza na kuwafanya msiwaze nje ya box na ndio maana anatumia nguvu kubwa sana ya media hata kwa mambo ambayo ni ya kawaida kabisa.

Mpaka sasa ameshaonyesha dalilili zote na ndio maana watu makini hata kwenye chama chake kwa sasa wanajizuia kumuonyesha kumuunga mkono tofauti na siku za mwanzo.

He is there not only to stay, but also to do anything whether you like it or no.

Uzuri JF ina-keep records, iko siku mtaurejea huu uzi na kusema watu mnaona mbali.

Time will tell.
 
Kuwapo madarakani muda mrefu sio tatizo, tatizo ni kuwepo madarakani kwa muda mrefu bila kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja.

Kwa spidi yake, mie natamani JPM awe MFALME kabisa, maana kwa miaka takribani 50 tumegundua kuwa Demokrasia ya vyama vingi ni upumbafu na ushenzi...!!
Hao wanaosema amefanya maendeleo hao ni special mission wanalipwa kwa kazi hiyo wanajua fika hamna kitu. Nakumbuka wakati Africa mambo ya vyama vingi yalipoanza Mobutu alitumiwa pesa nyingi kuanzisha vyama vinavyompinga ili vile vya upinzani vya ukweli visiende mbali.
Sasa hapa kwetu kuna kitengo cha mitandaoni kinalipwa kumtukuza wakati ndiyo tunazama kwenye shimo. Hao watukuzaji nitakuja kuwaona wakati mambo yanakuwa mabaya kupitiliza wanasema tulikuwa tunalipwa.
Kama juzi alijiuzulu kaitoa sababu 10 moja elimu bure, ATC tangu ianzishwe haijawahi kuwa na ndege zake sasa Ian ndege, wanasahau au hwakuwepo au hajui mradi amesema ATC ilianzishwa na Brand new ndege 9 na kulikuwa inakwenda Djibouti, Muscut, Dubai, Mauritius, Madagascar Seychelles Addis Ababa kwa kutumia Boeing 737 ilikuwa inakwenda Kigali na Bujumbura kwa kutumia F27, ilikuwa unafanya Lake service kwa kutumia twin otters wakati huo Magu mwenyewe alikuwa anasoma Lake Secondary school .
Kuhusu elimu bure mimi na fikiri hiki ni kituko cha karnekuitokomeza elimu watoto wao wako Feza wakwetu wako shule haina waalimu wala vitendea kazi, halafu mtu anasifia.
 
Na watu wanaomtetea humu mitandaoni ni wapumbavu wale wale kila siku. Wanabadilisha username tu.

Ndipo mtu mwenye hekima anapoona kuna kitu kikubwa sana hakiko sawa.
 
CCM inaburuzwa kuliko hata buzi linavyoburuzwa na nyumba ndogo ! mtu mmoja anajiamulia kila jambo as if wengine ni mifugo yake ! unajua pamoja na Utukufu aliokuwa nao Bwana Yesu bado alikuwa anapokea busara za wanafunzi wake .
ipo i.see yu
 
Back
Top Bottom