Kuna moja ipo Simiyu, ni nzuri na inaongoza kimkoa na wanafunzi wote wa kidato cha nne miaka iliyopita walifaulu na wapo advanced level pamoja na vyuo mbalimbali, kwa form one hadi four, michepuo ya arts, sayansi, na biashara. Ada ni 1.4 boarding, laki 9 kwa day. Shule ipo Bariadi mjini, taaluma ni juu saaana, hicho ndo kikubwa, waweza ingia Necta na ukaitafuta kujionea ubora wake. Inaitwa Kusekwa Memorial Sec.School. Ni co-education school.
______________________
Kwa sasa shule inapokea pre-form one ambao wanaandaliwa kwa ajili ya form one mwakani 2018, kama huyo nduguyo ni form one au anatarajia kuingia mwakani, tafadhali mpeleke Simiyu, kama hutojali nikutafutie na form ya kujiunga nikutumie.