Recent content by jamesjaco

  1. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

    Cha Ajabu wengine wanalalamika garama kubwa na wengine kwa izo izo garama wanaingiza magari mtaani
  2. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

    Uzi umeanza vizuri sana na hoja watu wanatoa za kueleweka ila sasa wenyewe naona washaanza kuja kuvuruga uzi
  3. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Ok ngoja nikufate huko
  4. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Owk sasa wakati nabuy nikaambiwa bidhaa haiuzwi tanzania.. na je nikubuy mzigo utafikaje mkononi kwangu? Kuna agent au niaje hapo
  5. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania Kwa huyu shemeji yangu nitatoka kweli?

    Tako km tako ndio liharibu miaka yote mliyokutana na mke wako... kuwa mwanaume mume bhn sio mwanaume mwanaume tu
  6. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    So ndio hio hio nitatoa mpk inifikie mkononi au ndio swali langu mkuu
  7. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nahitaji kujua hii mpk inifikie ni ngp? Na je kwa bei hiyo ndio bei zake au
  8. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania Siku hizi madalali wa magari wamekuwa wengi sana mtaani

    Siku hizi madalali wamekuwa wengi sana mtaani tena kwa maeneo kama Dar ndio usiseme kila mtu ni dalali. Hii hupelekea tofauti ya bei za magari baina ya dalali mmoja na mwingine. Unaweza kuta gari moja ila bei ni tofauti kati ya dalali mmoja na mwingne... matokeo yake wale madalali wa uhakika...
  9. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza Wanauza magari bei rahisi kuliko Dar es Salaam?

    Tupo huo ujanja tudake magari aisee mana kuna jamaa yangu ana 13m ila bado hajapata gari ya kununua mpk leo kwa dar
  10. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa 4WD ni nini hasa?

    Kwa 13m naweza pata 4wd used japan?
  11. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Sifa na Changamoto ya Nissan Juke

    Uwe na mwili mdg coz chenyewe ni kidg pia japo wanasema kwa rough road sio poa sana
  12. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya manunuzi ya gari ndogo ya kutembelea

    Kwenye ofa unamaanisha japan au hapa bongo
  13. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania Je, hii ramani imekamilika?

    Hiyo passage ya kuingilia master ningeipunguza na kuhamisha huo mlango ili nipate sehem ya dressing room
  14. jamesjaco

    JamiiForums Tanzania NACTE admission za vyuo vya Afya 2021/2022 toeni majina ya waliochaguliwa

    Tokea juzi nasikia yametoka ila sioni hiyo list iko wapi
Back
Top Bottom