Kuna huyu shemeji angu workmate na my wife. Mwanzoni nlikua simfahamu ila stori zake nlikua nazipata kutoka kwa wifu, kifupi ndoa yake ina migogoro kiasi na mume wake mpaka wametengana kwa muda lakini wana mtoto mmoja na ndoa ya kikristo
Shida ilianzia siku wife alisafri kwenda msibani kijijini mimi nikawa nimebak home na nikiwa najiuguza homa kidogo.
Sasa kuna vitu vya kazini kwao na wife vilikua vinahitajika na wife kaviacha home ikabidi ampe rafiki yake namba zangu za simu aje achukue homa, shemeji angu akanipigia akaja home kuchukua kuja duu shemeji ni mtu na nusu, kwa kwel shem ana shep na t*ko la haja na ndo ugonjwa wangu. Nikampatia alichofata akasep mmmh from there kuna kitu kikaanza kuibuka
Tukaanza kuchat na akaanza kunishirikisha migogoro yake ya ndoa bila wife kujua nae akaanza kunisifia mbele ya wife uko kazini haya wife akawa ananambia na wife kahis huyu shemej angu nikimtaka hakatai nae kanambia hivyo
Wife kanitahadharisha kua nikimla na cha moto ntakiona na shemej angu nae kapigwa mkwala kua hawa ni wanaume ni watu wa tamaa siku ukimpa mume wangu tutagawana majengo ya umma haya nayo kanambia shem.kweny utan utan tu
Mwanzo niliamua kumpotezea lakin kadri muda unavoenda naona shemej anazidi kua kisu
Shida kubwa naona nikimla atamdharau mke wangu hata wife akinisema vzr wakiwa wote atakua anamtukana kimoyo moyo
Kingine huyu shemej anastress za mapenzi kwa mume wake asije akanogewa nikahatarisha ndoa yangu
Na mwusho naogopa asije amkatilia mke wangu sumu au ammalize wife apate nafasi kwangu coz kwa mumewe hatak kurud tena
Nikimwangalia wife na jinsi anavomwamini huyu dada nitasababisha ugomvi wa karne na wife hataniamini tena lakini nikiangalia hili t*ko la shemeji kumuacha naona kama najidhulumu nafsi