Recent content by JAMBONIA 2

  1. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya Milango ya plastic, upvc doors

    asante mkuu daah
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jiondoe kwenye adha ya kupaka rangi kila mara kwa kutumia materials hizi

    unapokea oda ndogo kama kajumba chenye chumba na varanda? au una deal na oda kubwa kubwa tu.?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Paka rangi za kisasa kwa bei poa sana

    kwa hyo kwa kachumba kamoja unamaanisha itakuwa ni 520,000 kwa hesabu ya pande nne zote za chumba sio?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Azania Sec tukutane hapa

    R.I.P Mchwa mpaka nakumbuka akijitambulisha school baraza alikua hasikiki kwa makelele ya wanafunzi wakimshangilia
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Azania Sec tukutane hapa

    Mi nakumbuka mihogo ya Husseni nyuma kule na pia lilikua chimbo.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jiondoe kwenye adha ya kupaka rangi kila mara kwa kutumia materials hizi

    unapokea oda ndogo kama kajumba chenye chumba na varanda? au una deal na oda kubwa kubwa tu.?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya Milango ya plastic, upvc doors

    Naomba kujuzwa wakuu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Nabaki kucheka tu maana na wewe umemlaumu aliyewalaumu, nawe ungeanza kumshauri mleta uzi kisha ukamlaumu jamaa. Kwa upande wangu sina uzoefu na hili hivo nami nimeingia kusikiliza ushauri pia karibuni wadau kuchangia tufaidike wote.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nauza acc ya adsense ina dollar 40

    unauza pamoja na website au blog au ni akaunti peke yake?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nauza acc ya adsense ina dollar 40

    Mimi sijui chochote kuhusu hii kitu sasa nikinunua inakuaje maana ndani kuna kama elf 88 nami nakupa laki 2 narudishaje hela yangu naona elf 88 mpka lak 2 parefu..nipe shule kidogo ulimwengu wa teknolojia
  11. J

    JamiiForums Tanzania Somo la Fizikia laelekea kukosa walimu

    Nakumbuka wakati tunasoma hili somo tulilipachika jina la "baba mkwe"
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi Bodi ya mapato Zanzibar (ZRB)

    Jiulize kwa nini mzigo kutoka zanzibar ambao umeshatozwa kodi ZRB ukija dar TRA wanakupiga tena?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kuchukua Coordinates za eneo lako au unalotaka kulimiliki

    Tuelimishane kidogo unachukuaje coordinate mpaka ufike site? unalifahamu hili eneo nililokutajia? Ahsante
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kuchukua Coordinates za eneo lako au unalotaka kulimiliki

    unafahamu chochote kuhusu maeneo ya kipunguni mashariki yaliyopo kitunda nyuma ya uwanja wa airport daresalaam na reli je ni halali kwa makazi? kuna mgogoro wowote nijuze kwa uzoefu wako au kama inavyoonekana ktk ramani hap ofsini kwako.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Michungwa inayoweza kuzaa machungwa 4000 kwa kila mchungwa

    machungwa 4000 baada ya mda gani unapata idadi hii baada ya kupanda kw makadirio?
Back
Top Bottom