Paka rangi za kisasa kwa bei poa sana

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
2,162
3,086
habarizenu wakuu, poleni na majukumu.

Sasa ninawaletea utaalamu wa kutumia rangi na kutengeneza maumbo(patterns) zinazofanana na wallpapers,

Rangi hizi hudumu zaidi ya wallpaper (5+ years guarantee) na kuhusu gharama unaokoa zaidi ya 50% ya pesa zako na pia hupendezesha muonekano wa ukuta wako.

Aina hii ya upakaji wa rangi ni maalufu sana kwa nchi za ulaya na marekani japo watu wengi wanafikili ni wallpapers.

sisi tutakupakia kwa tsh 130,000/= kwa ukuta ikiwa ni gharama ya ufundi pamoja na rangi.

tunapatikana kwa 0713553387.
 

Attachments

  • 1455282662724.jpg
    1455282662724.jpg
    127.8 KB · Views: 296
  • 1455210310810.jpg
    1455210310810.jpg
    50.3 KB · Views: 129
  • 1455817640514.jpg
    1455817640514.jpg
    74.5 KB · Views: 132
  • 1455816609085.jpg
    1455816609085.jpg
    104.1 KB · Views: 134
  • IMG_20160220_212253.jpg
    IMG_20160220_212253.jpg
    37.3 KB · Views: 131
  • IMG_20160218_074445.jpg
    IMG_20160218_074445.jpg
    144.2 KB · Views: 134
  • IMG_20160229_171218.jpg
    IMG_20160229_171218.jpg
    28.6 KB · Views: 138
  • 1456758010591.jpg
    1456758010591.jpg
    34.5 KB · Views: 129
  • IMG_20160218_074445.jpg
    IMG_20160218_074445.jpg
    144.2 KB · Views: 112

Attachments

  • Screenshot_2016-04-22-00-12-37.png
    Screenshot_2016-04-22-00-12-37.png
    92.6 KB · Views: 111
  • Screenshot_2016-04-23-08-11-22.png
    Screenshot_2016-04-23-08-11-22.png
    117.9 KB · Views: 108
kwa hyo kwa kachumba kamoja unamaanisha itakuwa ni 520,000 kwa hesabu ya pande nne zote za chumba sio?
kuanzia kuta tatu gharama inakuwa 100,000/= kwa ukuta, itakuwa 400,000/= pamoja na rangi... karibu sana.
 
pia ikumbukwe kuwa rangi hizi zinadumu sana, (5+ years guarantee) karibu sana
 
OKEy kazi nzuri nina kibanda changu ni chumba,chumba na ukumbi,kila chumba ni self, nje kuna jiko na stoo, haijafanyiwa chochote ni mpya nataka ibambe mtaani yaani ingawa ni banda kiwe kivutio vp gharama itapungua yaani acha hiyo ya ukuta 130.
 
OKEy kazi nzuri nina kibanda changu ni chumba,chumba na ukumbi,kila chumba ni self, nje kuna jiko na stoo, haijafanyiwa chochote ni mpya nataka ibambe mtaani yaani ingawa ni banda kiwe kivutio vp gharama itapungua yaani acha hiyo ya ukuta 130.
oky! ni vyema tuwasiliane 0713553387
 
Back
Top Bottom