meku7
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 375
- 266
Kama mnayofahamu Bodi ya mapato Zanzibar ipo chini ya Wizara ya Fedha ya Tanzania na ni sehemu ya Muungano wetu.. Cha ajabu na kushangaza Bodi hii imetangaza Nafasi za Ajira ila kigezo lazima uwe na Cheti cha mkazi zanzibar.. hivyo kunyima Fursa kwa Wa Tanzania Bara kuto ku apply.
Je Ubaguzi huu Hadi lini? Mbona huku Bara TRA inawafanyakazi kutoka zanzibar?
Naomba ufafanuzi wenu suala hili lipoje?
Je Ubaguzi huu Hadi lini? Mbona huku Bara TRA inawafanyakazi kutoka zanzibar?
Naomba ufafanuzi wenu suala hili lipoje?