Nauza acc ya adsense ina dollar 40

Nsumba ntale tz

JF-Expert Member
Apr 19, 2016
713
762
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza ni account ya adsense yenye dollar 40 pia iko full activated so ni wewe kuendeleza mzigo tu, bei ni 200,000 aliye na uhitaji tafadhari anicheki tumalize biashara 0713268209 wahi sasa
 
Kuna kitu sijaelewa mbona pesa iliyopo ndan ya account ni kubwa kuliko unayouzia? Au kuna limitation ya kiwango cha kufikia ili kudraw minimum?
 
Kuna kitu sijaelewa mbona pesa iliyopo ndan ya account ni kubwa kuliko unayouzia? Au kuna limitation ya kiwango cha kufikia ili kudraw minimum?
Ili uweze kudraw ni lazima ufikishe dollar 100 mkuu, mimi nauza laki mbili nimepatwa dharura so nina shida na pesa.
 
Mimi sijui chochote kuhusu hii kitu sasa nikinunua inakuaje maana ndani kuna kama elf 88 nami nakupa laki 2 narudishaje hela yangu naona elf 88 mpka lak 2 parefu..nipe shule kidogo ulimwengu wa teknolojia
 
Adsense ni product kutoka google inayotoa matangazo kwenye site mbalimbali kwa makubaliano na mwenye site kwa lengo la kupata chochote kitu baada ya watu kutembelea na kuclick hayo matangazo hapo ndipo wewe unapoingiza pesa, na utaruhusiwa kuchukua pesa yako tu pale utakapofikisha dollar 100 utatumiwa kila mwisho wa mwezi unaofuata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom