Michungwa inayoweza kuzaa machungwa 4000 kwa kila mchungwa

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
765
489
habari wanaJF
Nashkuru muda mrefu umepita tangu nitoe thread yangu ya kuhusu kilimo cha michungwa inayojulikana kwa "tathmini ya mapato ya michungwa"
Nimekua nikipokea simu na message na e-mail kutoka kwa wadau tofauti ambao walikua intrested na habari hii.
Kwa kweli nimepata wateja wengi sana na wengi wao walikua wanafika shambani kwetu kujionea ukweli ya niliowajulisha kua kuna mbegu ya mchungwa inaweza kuzaa mpaka machungwa 4000 kwa kila mchungwa.
Pia imenipa hamasa ya kuweza kuzalisha miche mingi zaidi
kwa wale wateja wangu walionipigia simu kwa lengo la kutaka miche na wakakosa hii thread ni ka ajili yao ya kuwataarifu kua nina miche ya kutosha na wanaweza kuorder idadi wanayoitaka kwa sasa.
Bei ni ile ile ya ths 5000 kwa alietayari awasiliane na mm kwa namba 0712212220.
 
kuulizia miche bila eneo la kupanda nalo tatizo mm naitaji nina kaeneo kangu vikindu sina uwezo wa kujenga bora nipande hata miche. 15 kwa yeyote ambae anaitaji kaeneo ukubwa wa kawaida square meter 60 anicheki kwa pivate massage naweza kumsaidia bei kuanzia 3ml
 
Tangu 2012 ulipo weka uzi ule najua utakua umeshakuza ata mchungwa mmoja, now weka picha tuone maana huu ni msimu wa machungwa, otherwise ni upigaji ule ule baba'ake '
endelea kupoteza muda kuchangia ambayo huyafanyi wenzio wapo mbali wanapiga kazi na nimepiga hatua sanna
 
machungwa 4000 baada ya mda gani unapata idadi hii baada ya kupanda kw makadirio?
ukishapanda mche wa mchungwa mbegu aina hii inaanza kuazaa baada ya miaka miwili ila idadi ya 4000 mpaka itimize miaka mitano na kuendelea
 
ukishapanda mche wa mchungwa mbegu aina hii inaanza kuazaa baada ya miaka miwili ila idadi ya 4000 mpaka itimize miaka mitano na kuendelea

Tuwekee picha ya michungwa yako ambayo hivi sasa inazaa machungwa 4000; la sivyo tutajua kama unataka kuwapiga watu deci!!!
 
anaetaka kulima hasa hahitaji picha bali hutoka na kuna moja kwa moja kuangalia hali halisi ikiwa kama umeanza kuhamasika fika shmbani
Nifunge safari kwenda shambani bila kujiridhisha? Wengine tupo mbali na hilo shamba..tungependa kupata maelezo ya kutosha kabla hatujafanya maamuzi sahihi. Kumwambia aweke picha haikuwa kejeli. Lilikuwa ni ombi, kwani kuna shida gani kama ana uwezo wa kupiga picha huo mchungwa wenye mchungwa 4000? kama imeshindikana sio lazima pia.
 
habari wanaJF
Nashkuru muda mrefu umepita tangu nitoe thread yangu ya kuhusu kilimo cha michungwa inayojulikana kwa "tathmini ya mapato ya michungwa"
Nimekua nikipokea simu na message na e-mail kutoka kwa wadau tofauti ambao walikua intrested na habari hii.
Kwa kweli nimepata wateja wengi sana na wengi wao walikua wanafika shambani kwetu kujionea ukweli ya niliowajulisha kua kuna mbegu ya mchungwa inaweza kuzaa mpaka machungwa 4000 kwa kila mchungwa.
Pia imenipa hamasa ya kuweza kuzalisha miche mingi zaidi
kwa wale wateja wangu walionipigia simu kwa lengo la kutaka miche na wakakosa hii thread ni ka ajili yao ya kuwataarifu kua nina miche ya kutosha na wanaweza kuorder idadi wanayoitaka kwa sasa.
Bei ni ile ile ya ths 5000 kwa alietayari awasiliane na mm kwa namba 0712212220.
Za Leo kaka,naitaji michungwa hiyo Niko tanga mjini nielekeze niende ilipo,asante
 
Back
Top Bottom