Recent content by jambo1

  1. jambo1

    Ni kweli nilikuwa mwenyekiti wa CHADEMA lakini sijawahi kuwa na kadi ya uanachama ya CHADEMA

    Watu wengine bhana..,Watu tunajadili TEMBO wanaoibwa na KINANA wao wanaleta hoja za Kadi..,nia ya ukombozi hailwetwi kwa Kadi inatoka moyoni..nway...Kinanaaaa....Weka Mbali na Tembo..!
  2. jambo1

    Mh. Mnyika, Mburahati wanahitaji kadi za uanachama CHADEMA

    ..kadi ni muhimu wadau lakini kutokuwa na kadi kusitufanye tukae tu..tuendelee kuelimisha na kushawishi wengine waunge mkono Chadema..kikubwa ni kufanya kazi kadi ni karatasi tu..
  3. jambo1

    Simu INAUZWA

    oKAY 100000 uanchyukua nikupm number yangu
  4. jambo1

    Simu INAUZWA

    Haa haa haaaa..,Jamaa amefulia alaf anaficha ficha..,mwambie atupie na bei mapedeshee tuchukue kitu hiyo..!
  5. jambo1

    Simu INAUZWA

    Weka na Bei kaka..Mwisho wa mwezi huu tujipige pige tuchukue kitu hiyo..tundika na bei usiwe kama Kinana au Nape..!
  6. jambo1

    Godbless Lema atoa Tamko Kali - Mkuu wa Mkoa wa Arusha Atishia kumbambikizia kesi

    Kamanda hiyo namba iliyomtumia Mh Lema Message iwekwe hapa JF kwenye Mahakama ya Umma..! Mkuu Efatha, Ben Saanane tusaidieni namba iwekwe hapa...
  7. jambo1

    Mwanafunzi chuo cha uhasibu Arusha auwawa

    Polisi wameanza kuwapiga mabomu wanafunzi muda huu..,ila wanafunzi wanapambana nao kwa Mawe.Hakunipa details zaidi ila amesema hali ni Mbaya sana Policcm wamepiga mabomu ya kutosha na wametumia nguvu kubwa kuwahi kushuudiwa mkoani humo.. Chanzo:Mwanafunzi wa Uhasibu Arusha
  8. jambo1

    Tsunami ya Kinana yaimaliza CHADEMA Gairo

    Hivi jamani Sioi Sumari yko wapi kwa sasa, mbona amepotea kama moshi wa fegi..
  9. jambo1

    SHANGA 40 kiunoni, jamani ndo nini sasa??

    Mambo tunayopenda sisi hayo watu wa pwani,mpaka unajiskia raha kabisa.,sikia mjenge kisaikologia tatizo litaisha. Otherwise itakuwa aibu kubwa..
  10. jambo1

    Nimfanyeje mwanamke huyu?

    Chapa mwendo kaka,hawa watu hawana fadhira hata ufanye mema vipi siku moja atakuona ---- tu.Ila kwa issue yako mi nakushauri achana naye hasara roho pesa makaratasi,unaweza lazimisha then baadaye uje kujuta.Wanawake wengi utapata shemeji mwingine tu. Ila wanawake jamii ya hawa huwa wanatumiwa...
  11. jambo1

    Baba Mwenye Nyumba ana maana gani katika hili?

    Dadeki,we cheka cheka tu,utaliwa sasa hivi,yangu masikio na macho.,kwanza inaonekana ushaliwa wewe apia kama hujaliwa bado.
  12. jambo1

    CHADEMA Kidedea Urais SAUT

    Hivi hawa jamaa si ndo wana mkoa maalumu wa vyuo vikuu..,inamaana SAUT haipo katika huo mkoa.,si wangetumia hata mkuu wa mkoa wao wa vyuo vikuu kushinda. Ukiona hivi ujue Safari ya hawa Kenge inakaribia mwisho,panya wakubwa hao.
  13. jambo1

    Wambura Mtani wa RFA ameona mbali

    Yah na mimi pia namkubali sana na huwa anaongea mambo ya msingi sana..lakin wakat mwingine huwa hatend sawa mfano mauaji yakifanywa a Polisi kwenye maandamo yeye analaumu wanasiasa..
  14. jambo1

    Wambura Mtani wa RFA ameona mbali

    Yeye amesema tume ya kuchunguza jengo lilidondoka ina watu ambao walipaswa kuchunguzwa..sasa tujiulize tume ya polisi ya kuchunguza mauaji ya mwangosi ni halali..? coz kuna wakati alikuwa akisifu jeshi la polisi na namna wanavyotenda kazi na kuwaponda wanasiasa,bila kuzingatia kuwa kila kitu ni...
  15. jambo1

    Wambura Mtani wa RFA ameona mbali

    well kivyovyote vile lakin nilichokisema ni kwamba wakati mwingine huwa anapinga vitu ambavyo.ndani ya jamii vina ukweli na masrahi..
Back
Top Bottom