CHADEMA Kidedea Urais SAUT

CHADEMA Kidedea Urais SAUT

Asante wadogo zangu, jana niliwaeleza mctuangushe, wacheni wavu wazike wavu wao hao ndio ccm, yeyote anayetetea ccm ana akili ya maiti.
NI AIBU KUBWA SANA KWA KIJANA TENA MSOMI KUISHABIKIA CCM, HUONI HATA AIBU UMEKUWA rt1 au WATOTO WA MAFISADI.MWIGULU MZINZI NA MUUAJI MKUBWA SUBURI NGUVU YA UMMA MAANA UTAKOSA PA KUWEKA USO, UTAKUWA MTU AIBU DAIMA ENDELEZA TU UCHAWI NA ROHO WA UUAJI
 
Na bado, mkakati uliopo ni wa kuiondoa ccm madarakani by any means, take my word "HAKUNAJIWE AMBALO LITASALIA JUU YA LINGINE, HAWAPONI HAWA!"
 
Taarifa nzuri, umeichafua tu pale mnapotaka kujiweka kwenye kundi la wasomi wakati hamna hata chembe ya usomi. Hivi Bega zidi ya Kamwene ndio nini!
 
Habari kutoka SAUT, Mwanza, ni kwamba mgombea urais wa SAUT[CHADEMA] Bw. Mcheshi amepata ushindi wa kishindo na amemgaragaza vibaya mgombea wa C.C.M. Bw Peter

*Itakumbukwa kuwa jana, C.C.M. waliripotiwa kumwaga kiasi cha shs mil 8 kuwarubuni wapiga kura.

Hivi hawa jamaa si ndo wana mkoa maalumu wa vyuo vikuu..,inamaana SAUT haipo katika huo mkoa.,si wangetumia hata mkuu wa mkoa wao wa vyuo vikuu kushinda.
Ukiona hivi ujue Safari ya hawa Kenge inakaribia mwisho,panya wakubwa hao.
 
Mwendo mdundo sasa ni Ushindi wa Rais wa sauti 2015 ni Rais wa JMT atakayetangazwa atatokea CHADEMA.
 
Jamaa yangu aliyepo Saut ananipa update kwamba Jamaa wa CDM wanashangilia balaa kwa sasa na kwamba ilikuwa lazima washinde kwani walijipanga kweli kupiga kampeni jamaa mwingine alitegemea msaada sana na pesa za kuhonga. Shauri yake. CDM hawaangalii sura
 
Habari kutoka SAUT, Mwanza, ni kwamba mgombea urais wa SAUT[CHADEMA] Bw. Mcheshi amepata ushindi wa kishindo na amemgaragaza vibaya mgombea wa C.C.M. Bw Peter

*Itakumbukwa kuwa jana, C.C.M. waliripotiwa kumwaga kiasi cha shs mil 8 kuwarubuni wapiga kura.

Haya mambo ya vyama kwenye serikali za wanafunzi....ni umburula tu.
Someni...mjiongoze wenyewe without external influence from political parties...hao mtakutana nje ya university premise au during kongamano la chama chuoni...
Otherwise you cant think critically and freely...you will always wait for them to think on behalf!
 
Huyu ridhiwani kumbe ni kilaza hivi! Eti anataka kugombea ubunge jimbo la chalinze..labda baba yako akuibie kura kama alivoiba za urais 2010.
 
Habari kutoka SAUT, Mwanza, ni kwamba mgombea urais wa SAUT[CHADEMA] Bw. Mcheshi amepata ushindi wa kishindo na amemgaragaza vibaya mgombea wa C.C.M. Bw Peter

*Itakumbukwa kuwa jana, C.C.M. waliripotiwa kumwaga kiasi cha shs mil 8 kuwarubuni wapiga kura.
VIVA CHADEMA, VIVA MCHESHI. Jukumu lako sasa ni kuwatumikia walokuamini na katu kushindwa kwako itakuwa pigo kwa CHADEMA
 
Baada ya mgombea wa urais SAUT kupitia CHADEMA Bw.Mcheshi Dovakmwene kushinda kwa kishindo dhidi ya mgombea wa CCM Peter Bega aliyekua waziri wa mikopo SAUT ambaye ni kada wa CCM Bi.Sylvester Yalerd anadaiwa kukimbia mji wa Mwanza na simu zake zinaita bila kupokelewa.

Bw.Yalerd ambaye alikua mwenyekiti wa CCM chuoni hapo na waziri wa mikopo mwaka 2011 alipewa jumla ya sh.mil 9 na uongozi wa CCM mkoa wa Mwanza kuhakikisha mgombea wao Bw.Peter Bega anashinda.

Katika kuonesha CCM Mwanza ilijipanga kushinda urais SAUT hata kwa hila, mwenyekiti wa CCM mwanza Bw.Anthony Dialo alinukuliwa akisema "SAUT mwaka huu yetu,maana mwaka jana mlibweteka sana tulipowaachia"

Kwa hiyo katika kutekeleza hilo Bw.Yalerd akaanza kupika majungu na kuichafua Chadema ili kuitafutia uhalali CCM. Akarusha madai kwa serikali inayomaliza muda wake (ambayo ni ya chadema) kuwa hajafanya kitu, madai ambayo si ya kweli.

Serikali hiyo iliyokua inaongozwa na Kamanda Malisa imefanya mengi ambayo hatuwezi kuyataja yote hapa. ndiyo serikali iliyomaliza tatizo la umeme library licha ya kuwa tatizo hilo lilikuwa ni sugu na serikali zilizopita zilishindwa.

Pia ilisimama kidete kuhakikisha bei ya hostel za nje inapungua na wakafanikiwa. Ni serikali hiyo iliyotafuta udhamini kutoka shirika la maendeleo la ujerumani kujenga vimbweta vya kusomea nje ya madarasa. ni makamanda haohao waliosimama kidete kuhakikisha bei ya vyakula inabaki 1200 pale ilipopanda kuwa 2000 mwishoni mwa mwaka jana.

kama haitoshi ni serikali ya Malisa iliyoandaa makongamano na semina mbalimbali kwa nia ya kuwezesha wanafunzi kujifunza na kuhoji. ni serikali ya chadema chini ya Malisa iliyothubutu kumleta Mh.Tundu lisu kufanya mdahalo wa hadhara licha ya kuwa mwaka jana alikuja lakini akaishia kufungiwa nje na serikali ya CCM iliyokuwepo.

Kwa kifupi serikali ya Chadema chini ya Malisa imefanya mengi na watu wakapata moyo kwa mafanikio hayo na kuapa kutoirudisha tena CCM madarakani.

Sasa ili Ccm ijipatie uhalali wa kushinda ikaanza kudiscredit kila kilichofanywa na chadema. na kazi hiyo akapewa Bi.Sylvester Yalerd akishirikiana na mwandishi mmoja wa vigazeti vya udaku Bi.Jelard Lucas. wakajifanya hawajaona lolote lililofanywa na serikali ya Malisa. kazi yao ikawa kuchafua kwenye mitandao ya kijamii ili wananchi wakate tamaa ya kuichagua CHADEMA.

Hiyo ni kazi maalum waliyopewa na sekretarieti ya CCM mkoa, katika kikao chao La Kairo Hotel wiki jana (ushahidi upo).

Lakini kumbe kuikosoa serikali ya Malisa kuwa haijafanya kitu ilikuwa sawa na kupiga upepo rangi maana wanaSAUT walijionea wenyewe na wakafurahia matunda ya chadema na kuahidi kumchagua mgombea yoyote wa chadema atakayejitokeza.

Baada ya kuona propaganda zao hazizai matunda wakaanza kumshambulia mgombea wa chadema mwaka huu Bw.Dova Mcheshi. Wakasambaza uvumi eti ni mdogo wake Malisa wa kuzaliwa na kusambaza picha eti wanafanana. wakadai eti nae ni mchaga kama alivyo Malisa na baba zao ni ndugu (soma wall ya Yalerd kwny ukurasa wake wa fb).

Hawakuishia hapo wakapandikiza hadi mbegu ya udini. eti iweje Dova awe Mlutheri kama Malisa.
Udini, undugu, ukabila ndizo zilikuwa silaha zao kubwa.

Lakini baada ya matokeo kutangazwa kuwa mgombea wa Chedema Bw.Dova Mcheshi amemshinda kada wa CCM Bw.Peter Bega, inadaiwa huko CCM kimenuka.

Pametokea mvurugano mkubwa na kina Yalerd kudaiwa hawakufanya kazi kwa pesa waliyopewa badala yake walipiga cha juu.

Inadaiwa Bw.Yalerd amekimbilia mkoa jirani wa Shinyanga kukwepa aibu, huku namba yake ya simu ikiita bila kupokelewa.

Lakini hali ni mbaya zaidi kwa mwandishi wa vigazeti vya udaku Bi.Jelard Lucas ambaye kila anachoulizwa sasa anajibu matusi. Alipopigiwa simu kwa namba yake 065.... haikupokelewa na badala yake akajibu matusi kwa sms. (sms tunayo). Inadaiwa amechanganyikiwa hadi anaandika matusi kwny wall yake. unaweza kuipitia kwa jina la Jelard Lucas kwenye fb uone alivyochanganyikiwa.

MY TAKE:
CCM futeni kabisa mawazo ya kuiongoza SAUT. Kosa mlilofanya mwaka jana kuruhusu CHADEMA kuingia madarakani chini ya uongozi shupavu wa kamanda Malisa mtalijutia milele. CDM wamefanya kazi na watu wameona. ninyi magamba mlikuwa mnauza maneno, wao wanafanya vitendo. Mwaka jana Nyambari Nyangwine alikuja kumnadi Anthony (kada wa CCM) na kumfanyia harambee bt mkashindwa, mwaka huu Dialo ametoa hela mmeshindwa tena,
mwakani hata aje Rais Kikwete na kuihamishia hazina SAUT bado mtashindwa tu. Jipangeni sana.!!!
 
heh!....

kwa hiyo haya madudu yanaanzia at the university level????????.......my foot...ngoja nilale


we kijana mrusha maada ninauona 'ushabiki' wako wazi wazi....nakushauri usome mdogo wangu....

yupo jamaa alikuwa shabiki hivyo hivyo then ccm wakamletea bendi ya twanga pepeta wakat wa kampeni pale mabibo hostel...leo hii yuko chadema
 
Labda waanze kwa kumtafuta Chilisosi, anaweza akawapa ushauri vijana wa CCM ingawaje juhudi zake humu JF sijui zimeweza kufanikiwa kwa kiwango gani!
 
Last edited by a moderator:
Kwa jinc inavyoonekana siasa zinaendelea kuota mizizi vyuoni muda c mrefu hadi uchaguzi wa chekechea ccm watamwaga pesa.
 
Watu waliozoea kupokea rushwa hudhani kila kitu kinawezekana kwa rushwa. CCM jifunzeni mahali kama SAUT ni pa vijana wanaofikiria; hamwezi kuwanunua kwa fedha za wananchi.

Hongereni sana vijana wa SAUT kwa kuwafundisha CCM fundisho kubwa. Aibu kwa wazee wa CCM Mkoa. Tabia ya kununua na kuiba kura mnaiendekeza hata vyuoni? Mnataka kujenga taifa la watu wa aina yenu?
 
Natoa kama tafakari juu ya kukua kwa siasa za vyama katika ngazi za familia, Hivi juzi nilisafiri kwenda mkoa mmoja Tanzania kumsalimia ndugu yangu ambaye ni ofisa wa ngazi ya juu serikalini ( sitataja wadhifa wake hapa), yeye ana watoto wawili mkubwa wa kiume na mdogo wa kike.
Mtoto wa kiume yupo darasa la nne na wa kike darasa la tatu kwenye hizi shule za mchepuo wa kiingereza. Kwa uwezo wa baba yao watoto hawa wanaishi vizuri na kupewa wakitakacho.

Kilichonishangaza, usiku baada ya chakula tukiwa tunaangalia Televisheni sebuleni, watoto hawa wawili wakaanza kugombania remote ili kubadili channnel kwa kila mmoja kuweka anapotaka. Kwa kuwa kijana wa kiume mkubwa ana nguvu alifanikiwa, ndipo yule binti mdogo akamwambia kuwa aache mambo ya kizamani kama ya chama tawala, na yule mkubwa kuambiwa hivyo akadhira na kuondoka sebuleni.

Kuna jambo nilijifunza hapa , na kwa kuona hadi mzazi wa watoto hawa pia macho yalimtoka PIMA
 
What is wrong with the conventional 'student union' representatives, mpaka muanze ushabiki wa siasa mapema kiasi hiki na kujifunza tabia za kupoteza utu, unafiki, kubaguana ungali bado ni wanafunzi.

There is so much time ahead of you 'lots' to worry about party politics in the future lakini kwa sasa nadhani maslahi ya wanafunzi in general should be a concern kwa wote; without party affiliations na kiongozi bora ni yule ambae ni anti establishment, well at least those in your age group and in similar position dunia zingine ndivyo wanavyoona.

Lakini siasa tena za vyama mavyuoni mmh! you get the idea where Shonza, Mwambapa and many others young politicians learned to become opportunists, kama unafiki wa siasa za vyama mnaanza kujifunza mapema hivi.
 
Back
Top Bottom