Wanatupunguzia mamluki,
Haya wala mimi hayanipi homa. Hila za ccm za kununua watu na kuwabandika vyeo sio ngeni hapa Tanzania kwa watu wenye uelewa wa mambo. Ukifuatilia hata hizo kadi walizorudisha utabaini ni mpya na hata picha hazina. Hao ni wanachama wao wameamua kufanya usanii kuwa ndio wanarudi ccm ili kuwahadaa watu wa Gairo. Wanajidanganya wenyewe.