Recent content by jamaikatz

  1. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya biashara kama huna muda wa kuzisimamia ni bora ukaitunza tu pesa yako

    Kuna baadhi ya biashara kama huna muda wa kuzisimamia ni bora ukaitunza tu pesa yako .tupe mfano wa biashara hizo?
  2. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??!

    Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
  3. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Duh Uzi mtamu sana nimetumia siku 5 kuusoma wote, nimejifunza kitu
  4. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Demu mlokole

    Broo haijalishi mwanamke wako ana sali kiasi gani Na ni mpole kiasi gani Ila ukweli halisi wa mwanamke wako upo kwenye simu yake
  5. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mbona ameniacha ghafla! ana mtu au kaamua kuishi tu peke yake?

    Mshamba wewe 😁😠
  6. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kazi gani huwezi kuifanya hata uwe na shida

    Mbona nzuri
  7. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kazi gani huwezi kuifanya hata uwe na shida

    Kazi gani huwezi kuifanya hata uwe na shida ?
  8. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

    Hivi kati ya kujenga nyumba au kununua kipi ni gharama kubwa?
  9. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu wazazi wetu

    Sema ile kauli ya "Sitaki watoto wangu waje kuishi maisha kama niliyoishi mimi" Kwa namna moja ama nyingine huwa tunawakosea sana wazazi wetu. Walijitahidi sana kutupa Kila kitu kwa nafasi zao na walicho jaaliwa 📌
  10. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ambao mpo kwenye mahusiano mnavyowasiliana kila siku huwa mnaongea nini?

    Ambao mpo kwenye mahusiano mnavyo wasiliana kila siku huwa mnaongea nini ??
  11. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ukijitoa out huwa unatumia kiasi gani cha pesa?

    Ukijitoa out huwa unatumia kiasi gani cha pesa?
  12. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ulianza kufanya mapenzi ukiwa na miaka mingapi?

    Sio kwa ubaya Ulianza kufanya mapenzi ukiwa na miaka mingapi?
  13. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake?

    Je ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake?
  14. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kwa nini baadhi ya watu hawapendi kusalimiwa shikamoo?

    Hata wa mikoani
  15. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kwa nini baadhi ya watu hawapendi kusalimiwa shikamoo?

    Kwa nini baadhi ya watu hawapendi kusalimiwa shikamoo?
Back
Top Bottom