Tatizo hili hujulikana kama motion sickness. Ni hali ya ubongo kupata taarifa zinazokinzana na hivyo kuhisi kama mtu amukula sumu hivyo kumjengea mazingira ya kutapika. Macho yanaona umesimama lakini sensor zilizoko masikioni zinahisi unajongea. Changamoto hii haina dawa ya kutibu na ukapona...
Hahahaa! Mimi ni mzee ila napenda habari za vita. Japo sifahamu umri wake lakini bila shaka wakati najiunga jambo forum bila shaka City Thunder OKC alikuwa bado mdogo sana.
Wakuu,
Nina router ya airtel ZLT x25 ninalipia kifurushi cha 70k, mwanzoni ilikuwa ina speed nzuri tu kulingana na matumizi yangu. Ila kwa sasa speed imekuwa ya kusuasua sana. Siwezi hata kuangalia video bila kukatakata. Je wamepunguza speed au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.