Recent content by JAKUGOTE

  1. JAKUGOTE

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Wanaojua ukweli wa kilichotokea ni marehem na muuaji tu, sisi wengine tunabwabwaja tu
  2. JAKUGOTE

    JamiiForums Tanzania House4Sale House for sale, Nyumba inauzwa 10m bagamoyo zinga mtaa wa masaki

    Boma ni jengo ambalo halijaezekwa
  3. JAKUGOTE

    JamiiForums Tanzania Baba levo alikua hajui mswada na hata sheria za kodi hazijui na ni mbunge

    Ukijaribu kutafakari babalevo alipotokea, mpaka muda huu still ni kati ya wabunge ambao wameitendea haki nafasi hiyo ukilinganisha na wabunge wengi wasomi. Bunge linahitaji watu kama yeye
  4. JAKUGOTE

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester & Mitsubishi Outlander nichukue ipi?

    Nyuzi ya mwaka juzi mkuu we unakuja kumshauri leo?
  5. JAKUGOTE

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya bank imekaaje? hii riba ni sawa?

    Kwani ni lazima?
  6. JAKUGOTE

    JamiiForums Tanzania Nimenunua bodaboda aina ya Sinoray 250 ADV. Nawezaje kuifanya kuwa stable?

    Kuna jamaa yangu mmoja hiyo pikipiki imemtesa sana na maumivu ya mgongo kama mwezi hv kazunguka hospital nying kujua shida nn lkn kachemka. Juzi nakutana naye ananiambia baada tu ya kubadilisha shockup akajikuta amepona mgongo na amesahau kabisa maumivu. Hizo pikipiki zina shockup ngumu sn...
  7. JAKUGOTE

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali

    Sijategemea kama kuna siku hii nchi itakuwa inaendeshwa kizembezembe namna hii...........tumeshapoteza dira, hamna kitu wowote ile ya maana tunayofanya nowdays ni comedy comedy tu
  8. JAKUGOTE

    JamiiForums Tanzania We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

    Kweli kizazi kimebadilika sana, zamani ukichapwa shuleni unapiga zako kimya maana ukisema home unaweza ukachezea kibano kingine. Ila siku hizi sisi wazazi ndio tunakuwa namba moja kutetea ujinga wa watoto wetu sijui tunalea kizazi cha namna gani. Yan viboko viwili vitatu tu mnaripoti mpaka...
  9. JAKUGOTE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mambo yanazidi kuwa mambo! Hata Baraza la Mawaziri kuvunjwa kuunda jingine!

    Tunatembea na huu utabiri mpaka kieleweke
  10. JAKUGOTE

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri, nataka kufanya biashara ya daladala. Wazoefu naomba ushauri

    Hakikisha unakuwa na moyo mgumu kama wakamaria, yan uwe mtu ambaye ukiambiwa sahv mwanao anaumwa amekimbizwa hospital hushtuki wala nini basi ndio utaiweza hiyo biashara
  11. JAKUGOTE

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa Mafunzo ya Udereva, Dar es Salaam

    Sasa kama mkufunzi mwenyewe unaandika Reseni badala ya Leseni si unatutia mashaka sisi wanafunzi
  12. JAKUGOTE

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani utaiachia Dunia kabla ya kuondoka kwako?

    Madeni tu
Back
Top Bottom