Hao wapotoshaji walio umizwa na maneno ya Ndugu Emmanuel Nchimbi.Ni ya siku nyingi lakini hii na si majibu kwa Nchimbi kama unavyotaka kusema
Ukiweza maisha ya useja wewe ni konki hakuna kitu kinakushinda.Huyu jamaa ni smart ..ila kitendo cha kuwa padri ameshusha usmart wote chini...hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi usidinge?..yaani your whole life without sex by just a word from your fellow man...hapana kwakweli mbona slaa yeye alikataa ..slaa ni smart sana
Most probably Yes. Manake nasikia watu wa huko toka asb. mpaka jioni kazi yao ni kusaka walikotoka na wasipofanikiwa hujihesabu wamepoteza sana.Huyo atakuwa mtu wa pwani
Mbona tena umekengeuka mkuu? Si umesema hawaoi? Sasa uMrs umeingiaje hapo?Sawa Mrs Kitima.
Kukaa muda mrefu bila kudinya napo kunaongeza usmart ...........jaribu uoneHuyu jamaa ni smart ..ila kitendo cha kuwa padri ameshusha usmart wote chini...hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi usidinge?..yaani your whole life without sex by just a word from your fellow man...hapana kwakweli mbona slaa yeye alikataa ..slaa ni smart sana
ZaramoMost probably Yes. Manake nasikia watu wa huko toka asb. mpaka jioni kazi yao ni kusaka walikotoka na wasipofanikiwa hujihesabu wamepoteza sana.
Nawaonea huruma sana wanaomwamini Fr. Dk. Kitima.Aisee hawa watu wapo mbele sana kwa intelejensia ya uhakika.
Hawanaga kuficha ficha wala uchawa wao ni straight.
Kama mtu hajakiri bado ni Muongo na hayuko tayari kubadilikaAisee hawa watu wapo mbele sana kwa intelejensia ya uhakika.
Hawanaga kuficha ficha wala uchawa wao ni straight.
Hii ya zamani sema. hii interview ilikuwa ya moto sana kiasi amabacho.Bi msumi.alichanhanyikiwaKumekucha sio
Video inapotosha uhalisia kwani imetumiwa katika muktadha tofauti na uhalisia wake.Aisee hawa watu wapo mbele sana kwa intelejensia ya uhakika.
Hawanaga kuficha ficha wala uchawa wao ni straight.