Hellow wadau
Mwisho wa Mwezi huu nahitaji kununua Samsung HD Flat Screen 21" au 22" lakini kutokana na kahela kangu toka kwa bosi wangu "Kanyibay" sitokuwa na uwezo wa kununua MPYA,hivyo nalazimika kutafuata hata MTUMBA,Hivyo kama kuna mtu anayo tunaweza kuwasiliana.Ninaweza kununua kwa bei...
Nimechaguliwa kujiunga na mafunzo ya Ualimu. Nimeshngazwa na Mchanganua wa Malipo. Malipo ya Ziada yanazidi hata Ada ya Chuo na Serikali ipo tuu Macho Kodooo...Angalia Mwenyewe
b. ADA
Ada ni Tshs. 200,000 kwa mwaka (Inaweza Kulipwa Kwa Awamu
Mbili, Kila Awamu Tshs. 100,000)
c. MICHANGO
i. Tehama...
Nipo kwenye basi la Princess Muro Mbeya kuna mzozo umezuka baadhi ya abilia wanadai kuwa walilopa nauli ya Mbeya kwa basi la Luxury ya 44000 lakini wamepandishwa kwenye Basi la kawaida la nauli ya 38000..Zogo.kubwa limezuka na Kondakta ikamlazimu awasiliane na Makao makuu baada ya abilia...
Wadau kama dk 30 hivi zimepita.,majambazi wakiwa na Pikipiki mbili wamewapora wahindi fedha hapa CBE ukipita kituo cha akiba kwenye foleni ya kukatisha kulia kama unaenda Posta..wahindi walikuwa kwenye Gari toyota march ndipo jamaa wakatokea na kulazimisha milango ifunguliwe..dereva...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.