Uko sahihi kabisa big up za nguvuuuu
Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
Si imeandikwa ishini nao kwa akili jamani!?au mmesahau jichanganye ujiuwe!
Mapenz hayana formular
sidhani kama kuna ukweli ndani yake,maana hata wadada wanayaonge hayahaya na chojua mimi haya mapenzi bwana haya mwenyewe anayejiita mmiliki,hayana mjuzi wala mkufunzi,hakuna mapya wala ya zamani.Kila mwanadamu au mwanaume ulie kuwa unamzungumzia hapo ana hisia zake tofauti na unavyo fikiri,wapo ambao walisha tendwa kwa style hiyo na still wanao wapata wanaendeleza mwendo uleule..Huwezi jua litapo dondokea kama jiwe gizani vile
Wanawake soo aisee. Me nilimpenda kweli hadi akajuana na washkaji zangu kupitia mimi ghafla akaniacha kwenye mataa. Sasa hivi namuona facebook anatanua na mshkaji mwingine mapicha kibao. Alafu washkaji wanalike na kukocomment. Nmewamind na kuwaambia wakaushe bwana. Inaumaaaaaaaa!!!
sidhani kama kuna ukweli ndani yake,maana hata wadada wanayaonge hayahaya na chojua mimi haya mapenzi bwana haya mwenyewe anayejiita mmiliki,hayana mjuzi wala mkufunzi,hakuna mapya wala ya zamani.Kila mwanadamu au mwanaume ulie kuwa unamzungumzia hapo ana hisia zake tofauti na unavyo fikiri,wapo ambao walisha tendwa kwa style hiyo na still wanao wapata wanaendeleza mwendo uleule..Huwezi jua litapo dondokea kama jiwe gizani vile
Yes..,atakupenda kwa 100% atakugegeda alafu bhaaaasssss.....!Kama mwanaume hatonipenda kwa 100% ni bora asinipende kabisa
Kama mwanaume hatonipenda kwa 100% ni bora asinipende kabisa
Mmmh...
Huna mama?
Huna dada?
Mtoto wa kike je?
Usichukie mtu, chukia tabia ya mtu...
Mapenz hayana formular
Yes..,atakupenda kwa 100% atakugegeda alafu bhaaaasssss.....!
ntakupenda asilimia zaid ya mia na Atm card ninayoweka mkono wa kushoto kwenye suruali ntakupa uwe unaishika kabsa lakin......
Hee! Yani ndo ume2chukia hivo wewe!!Aaaaah!,yako cha mtoto...yangu balaa...nachukia kila mwanamke hata akijenga hoja popote naona kama balaa.ni. wanafik sn.tupa kule jina mke...shetan..