Dr Ramadhani Kitwana Dau aula tena ISSA

Dr Ramadhani Kitwana Dau aula tena ISSA

Hawa watu mbona wajinga hivyo; kila mtu anapochaguliwa kutumikia mashirika ya kimataifa angekuwa anafanya maandamano kama huyu zuzu si foleni zingefika TABORA kwa Kapuya!! Acheni ulimbukeni huo huyu Dau is just a religious zealot who is using the current weak leadership to advance his personal agenda based on his religion!!!

Bules,
I can see a point inside..........
something to be adopted with high esteem particularly to his followers who are fully brainwashed!!!
 
Jamaa ni mchapa kazi, ndio maana shirika lake linafanya vizuri. Mkapa alimpenda sana, kiasi cha kumrecommnd uwaziri katika serikali ya JK

Bw Mngony umenena , Dr Dau is one of the remarkable people to deal with, he is very decisive, principled and his verbal agreement are bonded in super glue, one doesn't need to worry, he will always stick to his words and commitments. he is humane and a very charitable person, who looks after the poor, he is true to the people of Tanzania, and is one of the very few officials who has not forgotten the village he comes from.

Although he is an example to be followed and who is recognized and appreciated world wide here back home we do not value him, although i do not share the same faith, i have noticed that what is being said of this issue to be biased and not true, Dr Dau is very Fair Man. Tumuombee mungu amlinde na ma hasidi na wanafiki haswa wa kutoka nyumbani hao ndio wabaya zaidi, kwani ulimwengu unampenda. long live Dr Dau.
 
Mkuu,

Yaani umenifanzia siku yangu ya leo kuzidi kunawiri. Shukran nyingi zikufikie!

Nimekusoma na umeongea mambo ya maana,ukweli na mema mno kwa jamii na Taifa letu changa.

Wishing you a beautiful w'end,Sir!

Ahsanta.
 
usilalamike sana kijana ndio kawaida hiyo kwani hata ukienda upande wa pili mambo yako hivyo hivyo...dr bwana,wewe na chuo chako mimi na six yng yule niko mkoani nakula kiulaiiiiiiini, nssf bwana kazi kidogo hela nyingi.........lkn usijali mdau c o lzm wote tuwe nssf endelea na biashara tutakuja kununua au nenda hata bandari unaweza ukapata kazi....!?

Mkuu wapi nimelalamika? Kilichotokea kwangu ni kama changamoto tu na kujua kwamba Usitegemee ndugu katika ajira. By the way nashkuru M/Mungu nafanya Biashara ambayo inaniingizia pesa kuliko hata ningeajiriwa hapo NSSF na sina tena wazo la kuajiriwa.

Kilichokuwepo na ndugu yangu KIDULA ni ubinafsi tu wa baadhi ya makabila kwamba lazima katika familia mmoja ndio aonekane Super Power kwamba yeye ndio last saying akikusaidia wewe hatokubalika katika familia ndio maana nawakubali sana Wahaya au Mchagga anaweza kukusaidia hata kama mmetoka kijiji kimoja lakini sio haya makabila yetu mengine(Wengi wao)

Nashkuru Alhamdulillah sasa tukikaa wote heshima ipo kidogo japo kanizidi uwezo.
 
1.ukiangalia taasisi na mashirika mbalimbali ya umma utaona ni jinsi gani NSSF walivyobalance mambo yao(haki sawa) lakini nenda mfano PPF,LAPF,na CRDB ambapo serikali inashare 40%, lakini faida yote inayopatikana kila mwaka CRDB inatolewa 10% kupelekwa makanisani.
 
Halafu hizi dharau zao ni kama wanazidi kutufanya tujitambue zaidi.
 
Good Luck. Hiyo ni post kubwa sana, kuongoza ISSA si mchezo!
 
Kutokana na bandiko nashauri kitu kimoja muhimu sana na naamini kitasaidia kama tukitulizanisha zetu bongo,
Naomba Wizara na Idara zote ziwe na uwiyano sawa huenda ikawa tatizo likashuka kwa kiwango kikubwa sana kama si kuisha, kwa mfano huo naupelekea hata katika chama tawala kuwa chama si kibaya kinachoonekana ni mfumo mbaya tu wa baadhi ya watendaji na kama utarekebishwa naamini hakuna chama kizuri kama hiki, kuliko kushika vyama ambavyo vimeishaanza kuonesha ubaguzi kama wa Parokia ya CRDB,
Tujikumbushe hiyo NSSF ilikuwaje kabla Dr. Dau na sasa ipo vipi?
Sasa yanini tugharamike kubomoa nyumba yote wakati tuishaona pahala gani pavuja?
 
Waislaamu kweli tunatisha kama njaa tena kuliko hata hiyo njaa,
Maana huyo ni mtu mmoja katikisa kanisa lote,
Napata leo zidisha Imaani yangu, yani maneno ya M/Mungu yatisha na hayadondoki, nachukulia equalization ya namna/utaratibu wa kupambana JIHADI inavyotakiwa,
Hiyo ni sehemu ndogo sana Muislaamu mmoja kawavuruga akili kiasi hicho, hembu tuvute fikra tungeliwapata alau akina Dr. Dau kama 10 tu wenye uadilifu kama wake hapo naamini Big Result Now ingelisingapata tabu hata kidogo,
Hata kama wapo walioghafilika naamini Muislaamu hapotei moja kwa moja akionywa huonyeka, ila kama Mnafiki. huyo tena ni tatizo jengine,
Nguvu moja haki kwa wote japo atakuwa kafiri, na hicho ndo akifanyacho Dr. Dau.
 
.. usitoke kwenye mjadala hawa nisawa nakukubali kushindwa na mbaya zaidi utakuwa umekubali kushindwa na watu wasio nahoja wala ukweli na wasio jitambua rudi tupambane hawa sio wajuzi mbele yetu na watu madhalim

jamaa kwa kushirikiana na mods wmebadilisha goal posts. sasa wananyofoa thread.
 
Inaonekana kuna agizo toka vatican sio bure asee.maana mipini ilikua ya hatari sana.wekeni store material hawa jamaa hawachelegi kuchokonoa tena.
 
Shirika kama NSSF hata uwe na akili kama ya '1 1964' lazima utaonekana kuwa unatenda kazi kwa ufanisi mkubwa!!!
 
.. usitoke kwenye mjadala hawa nisawa nakukubali kushindwa na mbaya zaidi utakuwa umekubali kushindwa na watu wasio nahoja wala ukweli na wasio jitambua rudi tupambane hawa sio wajuzi mbele yetu na watu madhalim

Bizmak,
Hatoki mtu hapa.

Mwambie Shariff Ritz awe na stahamala.

Nguruwe ukimsusia shamba la mihogo atalimaliza.

Wacha waondoe post zetu wabakize za kwao lakini sisi tunao hadi kiyama
In Sha Allah.
 
Bizmak,
Hatoki mtu hapa.

Mwambie Shariff Ritz awe na stahamala.

Nguruwe ukimsusia shamba la mihogo atalimaliza.

Wacha waondoe post zetu wabakize za kwao lakini sisi tunao hadi kiyama
In Sha Allah.
Mohamed Said

Kwa hishma yako nimekusikia nimerudi jamvini...hebu fanya utafiti wa kina uandike kitabu kuhusu haya majambo data zipo wazi na sisi tutoa ushirikiano Tanzania ni yetu sote.
 
Sifungwi na itikadi yoyote ya dini wala siasa, NSSF ina udhaifu mkubwa katika kutoa mafao kwa wanachama wake kuliko mfuko mwingine wowote wa hifadhi ya jamii, huu ni ukweli kabisa NSSF ina element ya dhuluma kwenye fomular yake ya mafao ya kustaafu, haina record madhubuti ya michango wanayoipokea toka kwa wanachama, wanausumbufu mkubwa katika kutoa mafao kwa wanachama wake kiasi kwamba inaweza kuchukua miezi sita au zaidi.
Tusibweteke na uwekezaji usio na manufaa kwa wanachama ambao ndio wenye pesa.
 
Back
Top Bottom