JakaRoho
Member
- Jun 7, 2013
- 40
- 6
Wadau kama dk 30 hivi zimepita.,majambazi wakiwa na Pikipiki mbili wamewapora wahindi fedha hapa CBE ukipita kituo cha akiba kwenye foleni ya kukatisha kulia kama unaenda Posta..wahindi walikuwa kwenye Gari toyota march ndipo jamaa wakatokea na kulazimisha milango ifunguliwe..dereva akagoma,jamaa wakavunja kioo na kuunlock milango then wakadungua mlango wa nyuma ambapo wahindi walikaa na kuchukua mfuko mweusi kisha kuondoka,piki piki moja ikanjoosha to maktaba square nyingine ikaenda ambapo wahindi walikuwa wakisubiri kuvuka waingie upande wa pili.