Nbc atm tazara -industrial branch

Nbc atm tazara -industrial branch

Dengue

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
2,050
Reaction score
1,469
Kwa muda mrefu saana ndani ya Atm ya Nbc Tazara hakuna taa. Wahusika wako wapi? Meneja wa tawi anafanya nini?

Haifai unaenda Atm unakuta giza totoro mpaka uwashe simu yako ndio uweze kuona namba kwenye atm. Haya ni maeneo mabaya kwa uhalifu nyakati za usiku. Mhalifu anaweza akaja kukukaba mle mle ndani ya Atm na mtu asijue ukizingatia polisi wanakaa upande mwengine kabisa na ziliko Atm.

Nbc mrekebishe hii hali.
 
Pole sana mkuu hii ni Only in Tanzania tu mkuu.
 
Ukiona giza na unaogopa kukabwa,achana napo nenda ATM nyingine,
kwani si wanaona nakuelewa hali iliyopo?!!! Nafikiri wanasubiri adhma yao itimie ndipo wata weka hizo taa.

Hii ndiyo Tanzania,tuna jifunza baada ya matatizo.
 
Mi na kamchina kangu wala spati shida..nawasha katochi simu naing'ata mdomoni namulika kwenye keyboard mambo mswaaano kabisa..poleni wenye magalaxy..
 
Bora uende quality centre. .zimo atm kibaoooo
 
Mi na kamchina kangu wala spati shida..nawasha katochi simu naing'ata mdomoni namulika kwenye keyboard mambo mswaaano kabisa..poleni wenye magalaxy..

Ishu sio kamchina. Unaweza ukapigwa kabali wakati kamchina kako mdomoni hata sauti ukashindwa kutoa.
 
Ukiona giza na unaogopa kukabwa,achana napo nenda ATM nyingine,
kwani si wanaona nakuelewa hali iliyopo?!!! Nafikiri wanasubiri adhma yao itimie ndipo wata weka hizo taa.

Hii ndiyo Tanzania,tuna jifunza baada ya matatizo.

Sijui hasa lengo lao ni nini? Ila hii ndio Tz zaid ya uijuavyo.
 
Mi na kamchina kangu wala spati shida..nawasha katochi simu naing'ata mdomoni namulika kwenye keyboard mambo mswaaano kabisa..poleni wenye magalaxy..
Wanaweza wakakuachia kamchina kako halafu wakachukua mpunga uliotoa !
 
Kweli kabisa. Kibaya zaidi unaweza ukaingia mle ndani ukakuta kuna mtu wakati uko nje yule mtu haonekani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom