Sioni makosa ya mzee Ruge na Ngereja kajichanganya.Msimamo wa serikali ni kuwa,fedha zile sio za uma(kwa watakao bisha rejeeni hotuba ya rais Kikwete aliporudi kutoka matibabu)Msimamo huo haujawahi kubatilishwa popote zikatangazwa kuwa sasa ni za umma.Hivyo hata kesi inayoendelea mwisho wake...
Nilitamani kukujibu lkn sidhani kama utaelewa.Kama umeshindwa kuelewa tatizo kwenye genge lililotawala kwa miaka hamsini na ushee likishindwa kujua au kufanya ya maana ili kutokomeza maadui iliyo yataja wenyewe na wewe bado tu unashabikia (utadhani wasabato màsalia na ujio wa Yesu),ndio utajua...
Ndio ujinga ulio kujaa.Hao wezi waliletwa na Chadema?unaacha kujadili ukweli unawayawaya na chadema kanakwamba chadema ndio walioongoza mazungumzo ya mikataba.Hebu oneni aibu japo kidogo tu kwaajili ya Mungu.Mliaandaa na maandamano na maazimio lukuki ya kupongeza viongozi wenu wa "chama"(ukweli...
Itategemea na ukubwa wa hiyo migongo pamoja na hali ya hewa ya eneo lilipo jengo lako(mfano kama eneo lina kawaida ya upepo mkali).Kingine ,tunatumia misumari maalumu kwa ajili ya kunakshi paa.likezekwa kwa misumari yenye rangi yake paa huonekana vizuri.Ni vizuri ukawasiliana na fundi wako ili...
Ndio 7bu ya kuuawa wale wataalamu watafiti kule.Wañanchi wakidhani wamekuja kupora ardhi yao,wakaamua kuilinda kwa gharama yoyote.Matokeo ni majonzi tupu.Mashirika,wakala na taasisi nyingi za umma zinahitaji kufanyiwa mageuzi ya kimfumo na kimuundo ili ziwiane na hali ya sasa.Mazoea hayasaidii
Kauli za mwakembe ni kama bando la siku.Siku ikiisha na kauli zake zinaishia kesho anakuja na lingine.Ni Mwakembe huyuhuyu alietuambia kuwa mahakama ya mafisadi imekosa washtakiwa na hivyo haina kesi ya kusikiliza.Leo anasema tena Lowassa hatoki,kwa nn asipelekwe mahakamani kuliko kupiga porojo...
Tatizo watu wa tiss na vibaraka wao wamevamia tu jukwaa kujaribu kujitetea na kutisha watu.Achen unafiki hv asiejua kuwa mashirika yote ya kijasusi yana vitengo vya utesaji ni nani?mbona mnajifunga vitambaa vyeupe kwenye giza mkiamini hamtaonekana?Acheni tabia za mbuni.Toen ufafanuzi na muache...
Tatizo ni pale unapo lazimisha Mungu wa mawazo yako awe pia Mungu wao.Kama unavyo amini kuhusu Mungu wako nao huamini hivyo hivyo.Tofauti yenu ni mafundisho ya dini zenu na taratibu za ibada
Huyu mleta mada alirogwa kifaduro na bibi yake hivyo akili yake inawaza kinyumenyume.Mabashite hawa ndo waongoze nchi iwe ya "viwonder"maajabu.Makala ndeeeefu halafu utumbo mtupu.Au ulianza kusema kabla hujazaliwa nini!?Kama kitu hukijui nyamaza jifunze kwanza,kama huelewi uliza ukielewa ndio uje.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.