Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,675
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametembelewa na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha (BAPS) Duniani Mtukufu Mahant Swami Maharaj mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam April 1,2017.
Kweli Duniani kuna dini nyingi sana,naambiwa hawa jamaa huyo pembeni aliyeshika hicho kitu kama kibox ndio "sanamu ya dhahabu" ambayo kwao ndio Mungu wao.
Hivi hawa ndio wale "Mabudha"?na je dini hii kuna Watanzania au watu weusi wanasali?Hapa Tanzania wanapatikana wapi na nyumba yao ya kuabudu ipo wapi?Tuelimishane!!
Cc Pascal Mayalla Bujibuji Kiranga barafu The bold