Recent content by Jaji

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwekezaji wa Kapunga Rice avunja daraja lililojengwa kwa nguvu za wananchi

    Kwanza inasikitisha kwa mtu kuandika kitu bila kufuatilia kwa kina na kuujua ukweli uko vip. Naomba kuuliza ni nani atakuwa tayari kuacha watu wajenge daraja au kuanzisha njia au kufanya shughuli kwenye kiwanja, eneo au shamba lake bila ruhusa yake? Bila makubaliano ya njia iwe wapi na iwe ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwekezaji wa Kapunga Rice avunja daraja lililojengwa kwa nguvu za wananchi

    Habari nzuri sana ya upande mmoja. Je ulihoji upande wa mwekezaji kujua sababu ni nini hadi akavunja? Je hayo madudu umeyachunguza na kuyajua ili pia uyapeleke sehemu inapostahili?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Safi sana na ikiwezekana wamrudishe kwao burundi kwani inaonekana kazoea vita sana na anataka tanzania iwe kama burundi. Ninaomba aondolewe tz yatu ibaki salama.
  4. J

    JamiiForums Tanzania MWIGULU tena SUMBAWANGA Mjini

    Kumekucha wanasumbawanga ficheni wake zenu na watoto wenu wa kike. Pia msiruhusu watoto kwenda kwenye kampeni kwani wanaweza kufundishwa matusi huko. Magufuli haendi?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Ndalichako ndani ya tbc

    Simba alisema wanaopinga uteuzi wa kadhi mkuu ni makafir. Sijui alimaanisha wakristo?
  6. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kutikisa kata ya Mpwapwa mjini leo

    Pamoja sana.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Copy and Paste ya Mlima KILIMANJARO.

    mbona hili Mbowe aliliongelea kwenye kampeni zake 2005 alivyokuja Rombo. Siyo jambo geni sana kwetu mkuu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mgombea udiwani wa CHADEMA Arusha akamatwa na Polisi

    Kweli upinzani umeongezeka hadi migambo?
  9. J

    JamiiForums Tanzania PICHA na Maelezo: Yaliyojili Mkutano wa Nape na Mwigulu hapa Igunga

    Walisahau kwenda na jembe lao la kudadadeki ..Lusinde.
  10. J

    JamiiForums Tanzania PICHA na Maelezo: Yaliyojili Mkutano wa Nape na Mwigulu hapa Igunga

    Pia komba na under-eighteen wake (lulu)
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

    Nadhani hadi mashabiki wa mume(ccm) wamefika kumsapoti mke wao.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

    dr wa nini?
  13. J

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Mbeya,mkutano wa hadhara live.Polisi Wamwagwa.

    Vip mbona kimya mkuu? Au policcm wameleta fujo na kukuibia simu nini?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Beberu la Rombo. Mramba.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Piga mimba, tumewapiga mimba ya mapacha. Lusinde.
Back
Top Bottom