BAVICHA Mbeya,mkutano wa hadhara live.Polisi Wamwagwa.

Vip mbona kimya mkuu? Au policcm wameleta fujo na kukuibia simu nini?
 
Mleta mada keshapigwa ban,au hamuoni?kama kuna mwingine yuko maeneo hayo ajitolee ku update,otherwise kama an id mbili.
 
Vijana wa CHADEMA fanyeni mambo nyie ndio chimbuko la mabadiliko na nyie ndio mtaikomboa taifa hili katika umasikini, wizi, uonevu, ufisada na rushwa iliyokisiri.

Vija wa CCM wameishia kutoa maneno ya kwenye kaknga na vitenge na wote wanaotoa maneno ya kupinga CHADEMA ni watoto wa vigogo waliofikisha taifa hili hapa lilipo. Walichota fedha kwa rushwa na ufisadi na kutumia na watoto wao leo watoto wamekua na kunenepea kwa hela haramu wanaanza kubweka kama mjibwa asiyo na mtu anayeimiliki.

Hakika tazama siku na saa za kuwamaliza zinakaribia. Kamwe tusiogope na tusirudi nyuma tupambane hadi tone la mwisho na mungu yupo nasi kwani tunayofanya ni mema. Nguvu ya umma kamwe haitashindwa.
 
Wamepewa ruhusa na RPC lakini? Kama wamejiamulia tu basi watandikwe vizuri tu.
 
sasa si wangeitoa hii habari kama ni yaungo?..kwanini watu waendelee kuchangia kitu kisichopo.
 
Nimepita pale nikasimamisha gari kwa muda kidogo nikaona shughuli ipo kwa ccm kwa mbeya

_ aliegombea ubunge kupitia cdm kwenye jimbo la mwakyembe anamwaga *****

Anasema, Kwanini ccm na serikali wana uwa na kuwatesa watu wa mbeya
-Ulimboka kateswa, mwakyembe mgonjwa, mwandosya mgonjwa wameuwa mwangosi nk kwanini watu wa mbeya tuu

Mkakati wa watu wa mbeya tuipege vita ccm na mkakati uwe kuchukuwa viti vyote vya ubunge

Lazima tuwafundishe adabu ccm kwasababu inawabaguwa watu wa mbeya

Jamaa akawauliza mko teyari wakasema ndiyoo kwa pamoja


Wakuu nimeondoka eneo la tukio lakini amani na usalama kwa kipindi kile kifupi ilikuwepo sielewi kinachoendelea hulo nyuma, soko la sido na maeneo yote ya mwanjelwa na kabwe
 
watasema M4C wamekuja kwa kofia ya BAVICHA.

Nimeipenda M4C kwa sababu inamaanisha kile kilichokusudiwa yaani "ama uache wapite (wamuvuzishe) au damu imwagike" wakati ile ya CUF V4C (Vision for change) Lakini mbaya zaidi ni hii ya leo ya cuf kuwa CCM Maana yake ni "Christian Church Movement" .........................siasa inawapagawisha watu kinommm///???
 
Nimeipenda M4C kwa sababu inamaanisha kile kilichokusudiwa yaani "ama uache wapite (wamuvuzishe) au damu imwagike" wakati ile ya CUF V4C (Vision for change) Lakini mbaya zaidi ni hii ya leo ya cuf kuwa CCM Maana yake ni "Christian Church Movement" .........................siasa inawapagawisha watu kinommm///???

Eti nini? Christian Church Movement!
Kwa hali hii ndoa yao inaelekea kubaya.
 
Back
Top Bottom