Dr. Ndalichako ndani ya tbc

kawaida yao makafiri, wanafanya kila namna kuudidimiza uislam lakini hawatofanikiwa.

Umesema ukweli kabisa kaka.Si umeona Libya wakristo wamemuua Gadafi aliyekua anaueneza Uislam duniani.Hata Misri ni wao na habari za kiintelijensia hata wanaotaka kumuua Shekhe wetu mkuu ni wao.tena hata huyu ponda nae babake ni mkristo katumwa kufanya kazi ya kuua uislamu.kalabagao
 
Duh! Mkuuu naona unacross line. Kabisa umetulia ukawaza na kuona hiki ndio sahihi kuandika?
Kwenu Mods hii ni changamoto kuangalia namna ya kudiscourage udini manake kwa namna unavyokuwa kwa kasi ya ajabu sijui tutaishia wapi.

Ninaomba TAFSIRI ya KAFIR. Je, Ni yeyote asiyekuwa MUISLAMU au hata MUISLAMU aweza akawa KAFIR? Na UISLAMU Ni Kubatizwa tu au kuishi kama anavyotaka MUUMBA?
Kafir sio tusi kwa lugha ya kiarabu, lakini tukileta maana zetu za kitanzania ni neno la kuudhi. Nitakujibu kwa maana halisi ya lugha ya kiarab. (Samahani kama ukitafsiri kitanzania)
Islam ni kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu (submission to God), kwa maana hiyo hauwezi kuwa Muislam wakati huo huo ni kafir. Lakini kuna watu wana majina yanayofanana na Uislam lakini matendo yao si ya kiislam. Kitu cha kwanza kabisa katika Uislam ni Kushuhudia "hakuna Miungu, isipokuwa Mungu mmoja na Mtume SAW ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu" baada ya hapo ni kuijua dini ya Amani na kutekeleza yaliyoamriwa. Hapo ni kwa kifupi. Please do not translate KAFIR to your own view or many tanzanians views. Tutakosana, ukweli sio tusi
 
mkuu umejitahidi kujibu vz.
Thankx.
 
Ninaomba TAFSIRI ya KAFIR. Je, Ni yeyote asiyekuwa MUISLAMU au hata MUISLAMU aweza akawa KAFIR? Na UISLAMU Ni Kubatizwa tu au kuishi kama anavyotaka MUUMBA?

Simba alisema wanaopinga uteuzi wa kadhi mkuu ni makafir. Sijui alimaanisha wakristo?
 
Hivi nn hasa maana ya neno makafiri au kafiri????
je ni busara kumuita mwenzio hivyo..........???
kwa wale watumiaji je wao wangefurahi kuitwa hivyo???

ah, mi naona poa tu wakiita hivyo, si wanapata amani? tofauti niijuayo mimi ni kwamba wengine wanaongea na wengine wako kimyaaaa. ni kama unamtukana mtu kwa kelele halafu yeye anakujibu kimoomoyo -mwenyewe, kwa hiyo hapo malizieni-wakisema makafiri-jibu kimoyomoyo
 
Hivi hakuna waislamu wanoenda kusafisha nyota,kwa waganga kutafuta vyeo,au kwenye makarai kuangalia nani kaniloga?Kama wapo wanaitwaje?
 
Kafiri ni yule asiyetaka kumwabudu mungu badala yake ana abudu sanamu

Ss kinachowafanya mwaite wakristo kafil ni nn?coz naona mnahukum wakati mwenye kuhukum ni mungu 2!nyie km kina nani?ila waislam bana mbachekesha kweli,na ndo maana hamfanikiwi kwny mambo mengi,hebu jaribuni kuangalia upya shauri yenu!
 
Hivi nn hasa maana ya neno makafiri au kafiri????
je ni busara kumuita mwenzio hivyo..........???
kwa wale watumiaji je wao wangefurahi kuitwa hivyo???

kafiri ni pumbavu moja lilaitwa peri
 
Last edited by a moderator:
Hivi hakuna waislamu wanoenda kusafisha nyota,kwa waganga kutafuta vyeo,au kwenye makarai kuangalia nani kaniloga?Kama wapo wanaitwaje?
 
Kama mwezi na nyota mpaka mmefikia kuuta mwezi fulani mtukufu. hizo si sanamu? Kwenye maengo yenu mnaweka sanamu za mwezi na nyota. Halafu mnasema mnamwabudu mungu yupi?
 
Duh! Mkuuu naona unacross line. Kabisa umetulia ukawaza na kuona hiki ndio sahihi kuandika?
Kwenu Mods hii ni changamoto kuangalia namna ya kudiscourage udini manake kwa namna unavyokuwa kwa kasi ya ajabu sijui tutaishia wapi.

Unajua mimi mkristo au sisi wakristo we feel so bad kuudharau na kuubeza ukristo sasa hasa humu ndani na mods mmekuwa mkiilea hii hali,mwislam akimwita mkristo kafir sio tatizo lakini mkristo akimwita mwislam kafir mnaona anatukana jueni nyie ndio mnatengeneza bomu.
 
Back
Top Bottom