MWIGULU tena SUMBAWANGA Mjini

Chondechonde jamani mwigulu nchemba sumbawanga makada wenzie wachunge wake zao,maana atafanya kama igunga kuchukua wake za wa makada wenzio!!!!!!!!!
 
Hawana alternatives...

Wakiambiwa chama kinakufa wanapiga kelele, kama mtu aliyewagharimu mara mbili katika kipindi kifupi bado wanampa tena hiyo kazi... This is not a good sign at all. Kama vipi wampeleke mwenyekiti wao anaesema chama bado kiko hai sana.
 
msiba sumbawanga,kuwa na uchaguzi mdogo siku hizi ni balaa na hicho kikosi cha ccm.mmh.
 
duh! CCM hawajifunzi tu kurudia kula matapishi?
Nchemba
Wassira
Lusinde
Usishangae mkuu,hawa ndo "vigoli chuchu saa sita" wa nyinyiemu na wengine ni "manung'ayembe"....kwi kwi kwi kwiiiiii.
 
hakuna mtu hapo unless waje watengue tena matokeo maana ukisikia wameshinda ujue waliiba kura kutukana na kutisha watu !Magamba bhana
 
Wakiambiwa chama kinakufa wanapiga kelele, kama mtu aliyewagharimu mara mbili katika kipindi kifupi bado wanampa tena hiyo kazi... This is not a good sign at all. Kama vipi wampeleke mwenyekiti wao anaesema chama bado kiko hai sana.
Umeona eeeh
Huu ndio wakati ambao wanaCCM kudai Kikwete, Bilali na Pinda kuongoza kampeni.

Wakina Mwigulu, Nape, Mkama, Mkapa na Lusinde wamefanya mara mbili kule Igunga na Arumeru Mashariki na matokeo yakawa mabaya sana.

Sasa huu ni wakati wa masultani nao kuwa mstari wa mbele ili waone kama chama kipo hai au kinakufa.
 
kikosi cha Mauaji........tusiwe wasahaulifu..

Igunga waliwaua raia wasio na hatia
Arumeru Masariki wakawaua raia wengine tena kwa style ya kutisha
Sumbawanga.............kuweni makini....Hiki ni kikosi cha mauaji.

I will be back after uchaguzi kuwathibitishia maneno yangu.
 
Kule Igunga alichukua mke wa mtu! Mwigulu awe makini watu wa sumbawanga sio wa kuwachezea! Akithubutu kuchukua mke wa mtu wataichukua dushelele yake.ila kwa upande mwingine ajiandae na kiasi kikubwa cha pesa kwa ajiri ya kuonga.
 
Kipenga kimelia jimbo la Sumbawanga Mjini. Ni baada ya Mahakama ya Rufani Tanzania kutupilia mbali rufaa ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM,Hilary Aeshi. Kwa mujibu wa Sheria za Uchaguzi,ndani ya siku 90,uchaguzi mdogo utafanyika. Mahakama ya Rufani ndiyo Mahakama ya mwisho.Jana,jimbo la Sumbawanga Mjini limekuwa wazi rasmi.

Baada tu ya uamuzi huo wa Mahakama ya Rufani, wazito wa CCM waliitana Ofisi Ndogo za CCM-Dar es Salaam kwa kikao cha dharura. Kikao kilianza saa 2.00 usiku na kuisha saa 6.30 usiku. Kilikuwa na vigogo wa juu wa CCM wakiwemo baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM. Ajenda ilikuwa ni Uchaguzi wa Sumbawanga Mjini.

Katika kikao hicho ambacho nami shushushu huru nilikuwemo,timu ya Kampeni ilipangwa kabisa. Itaoongozwa na Mwigulu Lameck Nchemba,Mbunge wa Iramba Mashariki-CCM. Mwigulu atasaidiwa na timu inayoundwa na vijana wengi wa Sumbawanga Mjini waliobatizwa jina la 'Watoto wa Nyumbani'. Watia nguvu watakuwa akina Wassira,Firikunjombe na Lusinde. Fomu zitaanza kutolewa mwezi huu mwishoni.

Hatahivyo, UVCCM wametakiwa kukaa mbali na uchaguzi huo kwakuwa kwasasa hawana picha nzuri kwa jamii kutokana na kile kinachoendelea katika chaguzi zao. Ningweza kuandika mengi.Lakini nina 'hang-over' ya mkutano wa Lumumba.Kumekucha!

Amakweli hapo kwenye red JF kiboko yao....Sijui ccm wanafikiriaje juu ya uvujaji wa siri zao..
 
Ee mungu mchukue huyu kiumbe wako anataka kutuleteA balaa lingine waja wako amen.
 
hongereni ccm kwa kuweka watu wenye mvuto na ushawishi kwa wananchi ila nachoomba ni fair play tu na pasiwepo na umwagaji wa damu.
 
Maskini weee wake zetu, subiri niombe Medical Store Department wapeleke Ndomu kuleee japo wapone
 
Kumekucha wanasumbawanga ficheni wake zenu na watoto wenu wa kike. Pia msiruhusu watoto kwenda kwenye kampeni kwani wanaweza kufundishwa matusi huko. Magufuli haendi?
 
Kweli vichwa vya panzi havina nywele maana angalau tulipewa vichwa tutumie akili na si kulea nywele. Hivi kilaza mwenzenu anakuja na thread kama hii na nyie mnaamini. Hicho kikaO kakaa nani a mwenyekiti yupo Uganda. Wajinga bwana, halafu aliyeileta yupo pembeni hapa alikuwa akinichekesha anasema yaone yasivyoweza hata kufikiri hata kama huyu mwanangu wa miezi 4, Achana na ujinga kafanye kazi. Hivi mnapata nini wkatiwenzenu wanajenga
 
Back
Top Bottom