Recent content by Jaji Tz

  1. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Kinana: Rais Samia aungwe mkono uamuzi wa kujenga maridhiano

    Kazi iendelee
  2. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Abdulrahman Kinana ashiriki hafla ya Hauli na Ifrari

    Matukio Mbalimbali Katika Picha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndg Abdulrahman Kinana Jumatano Aprili 20, 2022 ameshiriki ghafla ya Hauli na Iftari ya Marhum Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, iliyoongozwa na Mufti wa Tanzania Shekh Abubakar Zuberi , Upanga, Mtaa wa Mazengo Jijini Dar...
  3. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Matukio Picha Mbalimbali Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana Mkoa wa Dar Es Salaam muda huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee . #CcmImara #KaziIendelee
  4. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Kinana apata mapokezi ya kishindo Dar

    Kazi inaendelea hakika kazi inasonga mbelee kweli kweli.
  5. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

    Dar es Salaam tunakutana eneo moja tu Diamond Jubilee... Makamu Mwenyekiti CCM Taifa -Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana kesho tarehe 10 April 2022 kupokelewa na kutambulishwa rasmi kwa wana - CCM na Watanzania kwa ujumla wake, Kinana anayetajwa kama mwanamikakati hatari zaidi kusini mwajangwa...
  6. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Mayatima na wajane mkoa wa Dodoma waandaa dua maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika dua Maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa PSSSF mkoani Dodoma (leo) Jumapili tarehe 03 April 2022. Dua hiyo iliyotanguliwa na...
  7. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu maalum wa CCM Aprili 01, 2022, tukifahamu chama cha mapinduzi (CCM) - sehemu ya kwanza

    WANAVYUO MWANZA WATOA KONGOLE KWA RAIS SAMIA Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja Madarakani. Kongamano hilo limeongozwa na Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi, Ndugu Shaka Hamdu...
  8. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania *WANAVYUO MWANZA WATOA KONGOLE KWA RAIS SAMIA

    Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja Madarakani. Kongamano hilo limeongozwa na Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka na kuhudhuriwa na viongozi Mbalimbali wa...
  9. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania CCM kuitisha mkutano Mkuu maalum wa kufanya mabadiliko ya katiba yao

    Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa. #TukutaneAprilMosi #MkutanoMkuuMaalum #CCMImara #KaziIendelee
  10. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Hili la Wamachinga Rais Samia amenena

    Ni bahati njema kwamba idadi kubwa ya watu wetu katika taifa ni vijana, ambao ni nguvukazi muhimu katika juhudi za kujiletea maendeleo. Kuwa na vijana wengi ni moja ya vigezo muhimu sana kwa uzalishaji mali wa taifa lolote, ndiyo maana baadhi ya mataifa duniani hata yale yaliyoendelea sasa...
  11. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania (ATCL) kichocheo cha ukuaji wa uchumi Tanzania

    The Diplomat Air Tanzania (ATCL) ni shirika la umma na limekodishiwa ndege na serikali kutoa huduma kwa wananchi ,na kwa mara kadhaa hasa kipindi hiki cha corona halijatengeneza faida shirika kama shirika lakini faida ya ndege hizi ni kubwa hasa kwenye sekta nyingine za uchumi ikiwemo biashara...
  12. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Umaridadi wa mtoto wa Afrika

    UMARIDADI WA MTOTO WA AFRIKA Jicho [emoji872] Jaji_Tz. (African boy) Wakati tunahitimisha "SIKU YA MTOTO WA AFRIKA" nitumie Maneno machache kuzungumza na Watanzania na Serikali yangu pendwa ya awamu ya sita chini ya Mhe.Samia Suluhu Hassan. Mtoto huzaliwa na kipawa/kipaji chake wapo wengi ni...
  13. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Tuboreshe Sekta yetu ya Elimu

    MAANA YA ELIMU Kwa maana yake ni ujuzi au Maarifa . Utoaji wa elimu inamaanisha mchakato ambao maarifa, tabia, mila na maadili ya jamii moja hupitishwa kwa kizazi kijacho. Kwa maana ndogo ni lazima elimu iendane na jamii na husika ili kuwawezesha wananchi kuweza kuitumia elimu ile ili iweze...
  14. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Chato wamuaga Hayati John P. J. Magufuli

    Maelfu ya wananchi wamejitokeza Chato Kumuaga Jeshi aliyepigana vita ya uchumi na kuimarisha uchumi wa taifa letu hakika tutakumiss sana jeshi
Back
Top Bottom