Yaliyojiri: Chato wamuaga Hayati John P. J. Magufuli

Leo walikatazwa kwenda kua uwanja mdogo
bwashee mbona nyumbani kwa mpendwa wetu Chato, wanyonge hawalii na kugaragara chini kama huko walipotoka??

halafu pia wanyonge hao ni wachache foleni inaenda kwa kusuasua kusubiri watu!.
Mama yake yupo icu kitambo mno
Hata mi3 nashangaa..nilijua itakuwa disaster....afu hiv mamake yupo?
 
Maelfu ya wananchi wamejitokeza Chato Kumuaga Jeshi aliyepigana vita ya uchumi na kuimarisha uchumi wa taifa letu hakika tutakumiss sana jeshi
IMG-20210325-WA0023.jpg
View attachment 1734167
 
Nyamizi said:
Hizi dharau sasa,kwa hiyo umewaona Wasukuma kulaji yao ni mpaka misibani? Siku zote kusipokuwa na misiba huwa wanaishije? Halafu kwa akili hizi mje kutuomba kura tena,karibuni 2025!

..Poleni sana.

..Mnayotendewa siyo haki.

..Na inasikitisha zaidi ukizingatia madai kwamba Jiwe hakuwa Msukuma.
 
Kwa sisi watazamaji kupitia luninga tathmini zinaonesha wazanzibari walianguka sana kando la sanduku la baba kuliko kwao leo chato.
 
Wakuu wakati tukiendelea na maombolezo, nimewaza tu na kujiuliza maswali kichwani kisha nkajikuta nipandishe uzi huu.
Tangu nimeanza kufuatlia hili tukio kupitia luninga nmekuwa nawaona hawa jamaa wamesimama pembeni ya mwili kutwa, hii imekaaje kiafya kusimama kutwa tena kila siku au ni mazoezi tu? Anyway Mwenyenzi Mungu awabariki kwa kazi yao.
R. I. P JPM.
 
Mkuu hao usione wamesimama tu
Wanaangalia mengi sana hapo
Wanaweza kuona mambo mengi kwa kutazama uso wako tu
By the way wanalipa hera ndefu sana san sana
Acha wasimame tu
 
Ww kila siku umeganda kwenye habari za Magu!!? ona noma

Kuganda kivipi mkuu? Kama hamtaki watu wachangie basi msianzishe uzi unaomuhusu MAGU ,ushawai kuona nimeanzisha uzi wowote unaomuhusu MAGU? Mimi nachangia mada yeyote humu hata ukileta ya Konki Faya Liquid.

Nimeulizia update ya viewers kama leo wamefika bilioni 6 kosa langu lipi? Maana dodoma walifika bilioni 4 kasoro point 1.
 
Back
Top Bottom