Recent content by jaija a khun

  1. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Kenny Rogers Mwanamuziki mkongwe, gwiji wa miziki ya Country, afariki

    Lala mahali pema mzee wa gambler, haipiti siku bila kusikiliza nyimbo za country. Kazi yake mola haina makosa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    Mkuu vingi vimeandikwa humu vimenigusa moja kwa moja, ni sawa na mtu anayejiangalia kwenye kioo, nimeona taswira yangu kupitia uzi huu. Umenipa nguvu za kutosha kuendelea kupambana kutafuta pesa tu, vingine vitafata baadae. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    Nimejikuta nauchagua huu uzi kuwa bora kwangu kwa mwaka huu, kuna mengi ya kujifunza na wengi wameongea vilivyo vya kweli, chai kama zipo ni kidogo sana. Sijui ilikuwaje sikuuona mapema!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jahazi la Clouds FM lapata Mrithi wa Kibonde,Kuanza kazi Kesho tarehe 18.

    Fred Fidelis Waa (Fredwaa) angefaa pia kwenye lile pengo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mahusiano- Mchongo chini ya kizibo

    [emoji102] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wasikilizaji wa Clouds FM the People's Station Mnisaidie hili

    Mkuu ni Patrick, wametangaza wakati anamuaga marehemu Ephraim Kibonde leo mchana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake mtamchagua yupi Kati ya Hawa wanaume wawili

    Nitafuata moyo utakavonituma. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    JamiiForums Tanzania Yeye RC, mimi Luthelan

    Mkuu kuna vitu tumetofautiana, hatufanani kama wengi wanavyodai humu, ni muhimu kuongea na mwenza wako na mkubaliane kabla ya kufika mbali zaidi. Apo ndo kwa kuomba hekima na busara. Mungu akutangulie kwenye hili mkuu. Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  9. J

    JamiiForums Tanzania Yeye RC, mimi Luthelan

    Miaka hii ya sasa ya sayansi na teknolojia, elimu iliyo sambaa kwa idadi kubwa ya watu, na HAKI SAWA KWA WOTE naona vinadumaza sana maswala ya mapenzi na ndoa, ndio maana ndoa hazidumu sikuizi. Mungu awabariki sana wazazi wetu, wao hawakupata shida za dini wala madhehebu, waliangalia kesho ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uwasafirishe wote uliowahi date nao.

    DCM Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ukabila bado ni tatizo Tanzania.

    Mkuu mbona wamachame ni wachaga pia!! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu za kuoa Kibosho

    Wanatofautiana mahali wanapotoka, Moshi ni wachaga wa old moshi na Mushi ni wa kibosho (sina hakika kama sehemu nyingine wapo) . Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    JamiiForums Tanzania Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    Wengine wanasema "nyumba ni choo" Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    JamiiForums Tanzania Miche ya strawberry

    Wakuu habari zenu, naulizia kama naweza kupata miche ya strawberries aina ya Chandler, natanguliza shukrani
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kriticos ft Harmorapa & Ronei - Kideo ( Official Music Video

    Sijui niwe timu hamorapa, nimemchukia mpka nikampenda mwenyewe
Back
Top Bottom