Kriticos ft Harmorapa & Ronei - Kideo ( Official Music Video

Kriticos ft Harmorapa & Ronei - Kideo ( Official Music Video

Nyimbo inaitwa Kideo, amefanya na msanii anaitwa Kriticos ametokea Sweden nadhani
 
Huyo dogo aliecover kwenye kiitikio namuona kwa jicho la tatu aiseee,... Ni mkali kuliko
 
Ofcoz jamaa kafanya cha kueleweka,biti kali ngoma kali pia
 
Inabidi nikamcheki dogo wa maskio kwa kweli.. huenda natatizo kidogo maana ninacho sikia akiendani kabisa na sifa mnazotoa humu.. Pumba tupu
 
Back
Top Bottom