Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,118
- 55,542
Ha ha ha mkuu vipi,mbona unalala mapema?
Ha ha ha mkuu vipi,mbona unalala mapema?
Mapema sana,angalau saa sita ndio muda mzuri
Haloo jitahidi kuusoma uislamu ci kila unachouliza lazima ujibiwe, tafuta maana ya kafiri na mshirikina then utapata jibu la swali ulilouliza.Kwa hio sunni, Shia, bohora, qadiriya, ibadhi, wote ni sawa kwa kua misingi ya imani wote ni ileile nguzo 5?
Kwa hio mtu akijinasibisha na moja kati ya hayo madhehebu anakua sio muislam yaani yeye ni sawa na kafiri au mshirikina?
Maendeleo hayana chama
Kwa hio unakana mwenyewe kauli yako?Haloo jitahidi kuusoma uislamu ci kila unachouliza lazima ujibiwe, tafuta maana ya kafiri na mshirikina then utapata jibu la swali ulilouliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili uelewe jifunze kwa kusoma sio kubishanaKwa hio unakana mwenyewe kauli yako?
Sasa huo uislamu nitausomaje kama wewe hautaki kunifundisha?
Maendeleo hayana chama
Kwa hio unakana mwenyewe kauli yako?
Sasa huo uislamu nitausomaje kama wewe hautaki kunifundisha?
Maendeleo hayana chama
Mimi wala sijabishana nimekuuliza swali kwa lengo la kufahamishwa (kusoma)
Watoto wadogo kabla hawajawa na maamuzi yao wataenda upande gani?Hakuna mgogoro wote ule. Anzeni maisha aisee. RC wanaruhusu ndoa za mseto. Watoto mtakaojaliwa wataamua wenyewe upande wa kwenda.
Mzee Yusuf Makamba ni muislam, ila mke wake ni RC hadi kesho. Mary Majaliwa ni RC kindakindaki na mh. Waziri Mkuu ni Muislam, maisha yao yanaendelea vizuri. Mifano ni mingi. Hizi dini zimeletwa tu na wageni, haziwezi kututenganisha na wapendwa wetu kihivyo.
Hawachangamani ng'ooo !rejea kilichowatenganisha na walikuwaga kanisa mojaSioni tatizo hapo mkuu, kama mnapendana fungeni ndoa kila mtu abaki tu na dhehebu lake. RC na Lutheran mbona tunachangamana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukisema hivyo basi hakuna dhehebu linaloweza kuchangamana na lingine maana makanisa yote ni zao la kanisa moja tu. Kuna watu ambao tuko tofauti kabisa ila haya mawili walau yanakaribianaHawachangamani ng'ooo !rejea kilichowatenganisha na walikuwaga kanisa moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe ni RC mke ni mlokoleMzee Lowassa ni Mlutheri na mama Regina ni RC. Mkifunga ndoa Lutheran Baba Paroko wa RC anakuwepo.
Ongeeni na viongozi wenu wa dini.
Raha ya ndoa ni kusali kanisa moja, kwa maoni yangu.
Anasema hayupo tayari kuhamia Lutheran.
Anadai abaki kwenye dhehebu lake na mimi nibaki kwenye dhehebu langu hata tutakapoingia kwenye ndoa.
Wakuu hali kama hii si kukaribisha migogoro ya hapo baadae?
Ushauri