jaija a khun
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 119
- 53
Wengine wanasema "nyumba ni choo"Basi bwana, tukadondoka Moshi Mjini kufuatilia vitu flani hivi amazing nini,
Kushuka kwenye gari tunatembea na dadangu tukasikia wanaume wanasema:
"Engeneer Soma iyoooo!!, We Engeneer ngapiiii iyooo?!"
Nikacheka sana, nikawaza kwa kujiuliza kwani sikuhizi wadada wenye wowowo kubwa wanaitwa Engeneer soma iyo au?!
Unajua nimekaa sana ndani sielewi misemo mipya ya mtaani tena!
Embu nipeni Mapya bado naomboleza msiba wa mama yangu
Ila ya Engeneer yamenishangaza!
Sent using Jamii Forums mobile app