Asante, hapo ndipo ninapowaza, familia moja afu imani mbili? Afu watoto tutawatengenezea mazingira gani?, Watakuwa na nini cha kujifunza kwetu endapo wakikuta kila mmoja na imani yake? Naona huo ndo mwanzo wa kugawana watoto. Afu roman na Lutheran tumepishana sana ktk mambo mengi
QUOTE="jaija a khun, post: 30511359, member: 284279"]Miaka hii ya sasa ya sayansi na teknolojia, elimu iliyo sambaa kwa idadi kubwa ya watu, na HAKI SAWA KWA WOTE naona vinadumaza sana maswala ya mapenzi na ndoa, ndio maana ndoa hazidumu sikuizi. Mungu awabariki sana wazazi wetu, wao hawakupata shida za dini wala madhehebu, waliangalia kesho ya watoto wao. Asante mama uliamua kufata dhehebu la ubavu wako (baba) leo watoto wote tunaimani moja tunanena pamoja.
Sent using
Jamii Forums mobile app