Recent content by JAH CITY

  1. J

    MwanaHalisi lamuomba radhi Rais Magufuli. Lakiri habari ilikuwa na makosa!

    NACHOJUA TAMISEMI IPO OFISI YA RAIS
  2. J

    Msanii Nikki Mbishi amuomba msamaha Kikwete

    blob:https://www.youtube.com/b7d3060d-50e2-4712-a403-ae7f51db3fa8
  3. J

    Kenya: Serikali yatangaza kuwepo kwa njaa

    Imetangaza njaa, na imeweka mikakati ya kukabiliana na njaa. Tangazo hili limetangaza na wizara muhimu zote kwa pamoja, wizara inayoshughurikia chakula, maji, afya na hazina. Ni vyema kuwaeleza wanachi ukweli, ili wajiaandae. ............. Huku kwetu MKUU WA MKOA NAPIGWA MKWALA, MWANANCHI UNA...
  4. J

    Kenya: Serikali yatangaza kuwepo kwa njaa

    Salama wa kuu.... Nipo naangalia NTV, Serkali ya Kenya inatangaza kuwepo kwa ukame na upungufu wa chakula katika eneo kubwa la nchi. Inatoa takwimu muhimu juu ya chakula kilichopo na jitihada za serkali kutatua tatizo. ............ BADO KWETU
  5. J

    Huu msalaba wa Maamuzi mabovu unabebwa na nani? - Zitto Kabwe

    Nilishawhi sema jambo hili....wana ccm wakanipinga. Asante kwa ufafanuzi wa kina
  6. J

    KWANI NA WAO NI MACHINGA...!?

    Salama.... Nawakumbusha tu wale vijana walioajiriwa na baadae kufutwa kazi....wajiulize kama na wao ni machinga? Maana kwa sasa tunashughurika na machinga tu. Ikizidi sana na wachimbaji wa dogowadogo...hizi ndizo ajira.
  7. J

    Wasamaria tulifanya makosa kuchangia wahanga wa tetemeko Kagera?

    Wana jukwaa salama, Tumeshuhudia waziri Mwijage akikiri kuwa alituficha juu ya dangote kutaka gas bure, sasa tunataka tuambiwe ukweli juu ya pesa ya maafa kagera. Msema ukweli ni mpenzi wa mungu.
  8. J

    RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    Naomba kwa umoja na utaifa wetu tuungane kwa pamoja, KUPAZA SAUTI ZETU KUMUONDOA MKUU WA MKOA WA DAR, P. MAKONDA KWA LUGHA CHAFU ALIOITUMIA KWA AFISA ARIDHI MANISIPAA YA KINONDONI.
  9. J

    Waziri Mwijage: Kweli mizigo imepungua na wenye malori pakini malori hadi hali itakapotengemaa

    Leo akizungumza na wanachama wa TATOA, wamiliki wa maroli Tanzania. AMEWAPA USHAURI WA KUUZA MAROLI YAO PALE WANAPOONA BIASHARA INAYUMBA. NIMESHANGAZWA SANA NA USHAURI HUU KWANI WAZIRI ANAJUA NI USHAURI MBAYA NA BADO AKAENDELEA KUUSEMA. 1. Nilitegemea waziri angechukua matatizo yao na kuishauri...
  10. J

    Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Kwa maisha tuliyo nayo haina haja ya salaam, kwani natambua hali za wengi sio humu nzuri sana. Jana mkuu wa nchi amewaonya wanasiasa hasa (hasa wa upinzani kwa tafasiri yangu) kutotumia janga la bukoba kama sehemu ya siasa. Mimi naona tatizo sio siasa, bali tatizo ni kusema ukweli. Wanasiasa...
  11. J

    Rais Magufuli atahudhuria UN General Assembly Jumatatu?

    Hahahahahaha....nimecheka kwa sauti
  12. J

    Waziri Mkuu: Tutakuwa tunatumia Kiswahili kwenye mikutano ya kimataifa, tutaajiri wa kututafsiria

    Habari zanu wana jukwaa? Naandika uzi huu, bila ya kuwa na mtazamo hasi wowote na bila kuegemea pande wowote. Leo kulikuwa na MKUTANO WA WAKUU WA JESHI LA POLISI WA INCH ZOTE ZA SADAC, ULIOFANYIKA ARUSHA. Katika mkutano huo, mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais mama Samia. Kuna mambo mawili...
  13. J

    Nimekubali Naisoma Namba kwa majonzi tele

    POLE SANA MKUU....
  14. J

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) yatahadharisha ujio wa ukame, njaa

    Katika hali isiyo kuwa ya kawaida leo mkurugenzi wa mamlaka ya hali ya hewa, ametangaza kutokea bala la njaa. Hi ni kwasababu ya kutonyesha kwa mvua za kutosha, Sasa rais alisema....Serkali yake haitatoa msaada wa chakula. Mungu atuma salamu ikulu, na kumueleza kuwa, "Hili ni taifa langu na si...
Back
Top Bottom