Kenya: Serikali yatangaza kuwepo kwa njaa

JAH CITY

Member
May 24, 2016
40
71
Salama wa kuu....

Nipo naangalia NTV, Serkali ya Kenya inatangaza kuwepo kwa ukame na upungufu wa chakula katika eneo kubwa la nchi. Inatoa takwimu muhimu juu ya chakula kilichopo na jitihada za serkali kutatua tatizo.

............
BADO KWETU
 
yani unafikiri kuwepo kwa ukame ndio njaa? je wametangaza ukame au wametangaza njaa?
 
Serikali inayo wajibika kwa RAIA wake hiyo.
Ndio maana wanatudharau kwani hatujitambui
Hatujitambui kwa vile sisi ni wanafki na wachumiatumbo, hatujiamini, wezi na pia tuna roho za korosho, hivi vitu akiwa navyo mtu asiesoma unaelewa, akiwa navyo msomi, wa Chuo Kikuu, tena UDSM, tena Science, tena .....! Ruvu sipapendi!
 
Salama wa kuu....

Nipo naangalia NTV, Serkali ya Kenya inatangaza kuwepo kwa ukame na upungufu wa chakula katika eneo kubwa la nchi. Inatoa takwimu muhimu juu ya chakula kilichopo na jitihada za serkali kutatua tatizo.

............
BADO KWETU
kwa kenya hii siyo habari kubwa.washazoea kupitia mazingira ya uhaba wa chakula.
 
Back
Top Bottom