Recent content by jaffari yogo

  1. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mmiliki wa kikundi cha wahalifu 'Jeshi la Sanjo' kilichopandisha bendera msituni akamatwa

    Umeonaeee. Jeshi la Polisi limefanya jambo la maana kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania Rungu la mabadiliko laja kufyeka Majimbo ya Uchaguzi 84 na nafasi za Viti Maalum 44: Serikali kuokoa Tsh. 122,000,000,000.

    Mathematics ni mtihani Sent using Jamii Forums mobile app
  3. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania Tukio la Bobi Wine: Tanzania tuko kimya, Kenya kesho wanaandamana

    Source ya maandamano huku kwetu Tanzania ni nini hasa? Sisi tunajielewa wewe unayehitaji maandamano kaalike familia yako uandamane nayo lakini pia ujiandae kushitakiwa kwa maandamano hayo maana ni ujinga. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania Rungu la mabadiliko laja kufyeka Majimbo ya Uchaguzi 84 na nafasi za Viti Maalum 44: Serikali kuokoa Tsh. 122,000,000,000.

    Hilo ni jambo jema maana ni njia moja wapo ya kupunguza matumizi na hizo bilioni 122 kila baada ya miaka 5 itasaidia kuongeza maendeleo. Hii ni serikali makini. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sh. 25,000 Tanesco ni unit 70. Lakini max malipo sh. 25,000 unit 34 tu. Je, huu sio wizi? Naomba ufafanuzi wenu tafadhali.
  6. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania Tahadhari unapopeleka simu kwa fundi

    Mafundi ni shida sana
  7. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi Kuhusu: Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali (mstaafu) Salum Kijuu

    Mbona hata mkuu wa wilaya husika alivaa? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania Huduma za Hospitali ya DDH BUNDA imenichanga.

    Hebu fikiria unampeleka mama mjamzito hospitali usiku wa saa nane halafu unaambiwa ununue gloves 5 kila moja sh. 2000 na bomba za sindano 3 kila moja sh. 200. Sasa utaratibu huu ndo unaotumika kila hospitali ama ni kwa baadhi ya hospitali maana hapa sijaelewa. Halafu usiku huo wa saa 8 ukute...
  9. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aripoti Polisi kutoa taarifa ya kutishiwa kuondolewa Buguruni

    Ni kweli kabisa usemayo maana CHADEMA na CUF ni vyama viwili tofauti japo wako katika muungano maana kila Chama kina viongozi wake katika ngazi zote sasa iweje Chadema ndo wawe wasemaji wakuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Kufungwa kwa vituo vya mafuta nchini kwa kutokuwa na mashine za EFD

    Petrol station zote ambazo hazina mashine za kutoa risiti za TRA zimefungwa. Vyombo vya moto vingi vimekwama kufanya biashara kwa kukoswa mafuta. Kwingineko vipi jamani. Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  11. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania Abiria wa mikoani waomba kusafiri usiku

    Ni hatari sana acha kabisa. Usalama kwanza. Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  12. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania Abiria wa mikoani waomba kusafiri usiku

    Ningeomba tujali usalama wetu kwanza. Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  13. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania Kibiti Raha Sanaaa

    Mtoa mada huyu [emoji115] sijui
  14. jaffari yogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NAKUMATT yayumba kiuchumi nchini Kenya na Uganda wadai wanaitaji msaada waki fedha.

    Hata Tanzania tayari wameyumba sio Kenya na Uganda tu
  15. jaffari yogo

    JamiiForums Tanzania Nini utafanya kama ni wewe?

    Umeonaeeeeee
Back
Top Bottom