samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,968
Camera yako kuwa na ukungu si lazima awe ameibadilisha,ila yawezekana kuna kitu alikigusa na kuisababisha hiyo kamera kuwa na ukungu kwa vile Camera na vibretor viko karibu.mkuu we ni fundi? huyu jamaa wakwanza kaziyake ilikua ni kuweka vibrate nyingine na kutoa iliokuwemo alivyo maliza nikamlipa alidai 15, 000/= tatizo la ukungu lilianzia hapo ina maana alinibadilishia camera yeye wala si mwingine.