Recent content by jacusy

  1. J

    Enyi wanawake hivi wanaume nao wana sukari tofauti?? . . .Lol!

    Tofauti ipo ndio lkn maumbile sio sababu,ni jinsi ya utumiaji hayo maumbile tuu,na mtu mwenyewe yuko romantic kiasi gani??mimi nilikuwa sipendi kabisa mitarimbo mikubwa nikiamini inaumiza,kumbe walaaaa ni utumiaji tuu wengine wana vimbilimbili lkn ovyo kabisa ni bora akutie kidole tuu,lkn kuna...
  2. J

    Vodacom M-pesa wanatuhujumu

    Pole kw upotevu wa hela zako,ila siwasifii voda lkn ktk makampuni ya simu inaongoza kw huduma nzuri za kusikiliza wateja hayo maswala ya mpesa,piga namba 15000 watakaungalizia mwanzo mwisho statment yako...mm nishaibiwa 900,000 voda walisaidia lkn tigo,airtel hakuna msaada kbs,cz mm ni wakala...
  3. J

    Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

    Pumba pumba tupu,umeoa mwanamke wa kizungu kwa sababu unayaogopa maisha sana ww,alafu wewe ndo Fake kabisaaa haujiamini mpaka kukimbilia mwanamke wa kizungu,ebu weka Hoja za kueleweka bwana usituchoshe Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  4. J

    Lema: Sikuogopa nilipoona mwanajeshi anapiga picha na mimi

    Lema haipingiki kuwa uko sawasawa baba,huna haja ya kuogopa kwa sababu Chadema hakuna siasa za kuogopana km kw Chama Chakavu Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  5. J

    Airtel na kifo cha Sharo Milionea

    Mimi naona wako sahihi,sababu ya mkataba waliosainishana na Marehemu,wao sio wajinga kuendelea kurusha ina maana kuna sheria inawalinda na kwny sheria hakuna mila,wala machungu,ina maana kw kuwa sharo kafa na airtel ife?? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  6. J

    Kwa nini wanaume wanaoa wanawake waliowajua Muda mfupi? Na wanawake pia

    Mpe pole mdada,kila likuepukalo lina kheri na wewe,soo afanye haikuwa bahati yake amuombe Mungu japo ni ngumu sn sn,na wanawake wengi siku hz pia wanatumia nguvu za giza,na wanaume wanapenda mteremko sn wa maisha hawapendi kuanza,Mimi ndo maana kwangu hakunaga i love u,ooh sijui kukutambulisha...
  7. J

    Msaada:- Ndoto hii inaninyima raha

    Pole sana Gilesi,Imani ni ndani yako mwenyewe na sio kuhusu kanisa gani uombewe,tengeneza imani yako kisha popote unaweza ombewa cz kweli makanisa ya uongo yamejaa lkn wanamuhubiri yesu huyo huyo,kw hy kama imani yako si haba utapokea uponyaji wa kweli popote pale Sent from my BlackBerry 9800...
  8. J

    Maajabu ya kufa na kuzaliwa

    Sijaelewa Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  9. J

    Wanaume: Je mnakipa tafsiri gani kitendo cha mwanamke kukubali kujamiiana mapema...?

    Ni kweli Ciello,kwa nini kiulizo kiwe kwa wadada tu na si kwa wakaka pia?cz hata wewe mwanaume kuomba game mapema alf unakuja kujiuliza why amekubali,naona km unakuwa haujatulia as well thou sioni tatizo la km mmevutiana mpk kufikia kupeana,cz ili sex itokee kuna vitu vingi vya kuvutiana mpk...
Back
Top Bottom