Vodacom M-pesa wanatuhujumu

Vodacom M-pesa wanatuhujumu

Uandishi wako ni wa kikanjanja sijaupenda, unapoandika breaking news unatakiwa utujulishe inahusu nini kwenye heading, sawa mkuu?

the issue hapa ni kua,generally transaction za simu zinafanyika kwa wingi na audiance ni wengi,sorry for that approach,but we all learn to put things in super style for immidiete out come,thank you for the concern.
 
Pole kw upotevu wa hela zako,ila siwasifii voda lkn ktk makampuni ya simu inaongoza kw huduma nzuri za kusikiliza wateja hayo maswala ya mpesa,piga namba 15000 watakaungalizia mwanzo mwisho statment yako...mm nishaibiwa 900,000 voda walisaidia lkn tigo,airtel hakuna msaada kbs,cz mm ni wakala nafanya tuu nifanyeje na hz coy zingine ila sizipendi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
...who knows ? Might even be that his "nyumba ndogo" fleeced him of his balance from his phone! When I saw the heading as BREAKING NEWS, I thought it was really a breaking news, kumbe m2 kaibiwa na totoz yake balance ya Mpesa yake ! :-*

i told you,dont put every aspect in anticipation of girl,some of us we dont evenlike those abc...concerning the girl,we are vulture,we see them from the distance and count the effect in advance,these are normal product for retail and whole sale,bulk and the like.but be careful.
 
naomba watumiaji wa vodacom M pesa muwe makini inawezekana kampuni haina habari lakini nimepotelewa na Tsh. 65,000/- kwa kipindi cha wiki tatu, instalment mbili,mwanzo elfu kumi na tano,na jana elfu hamsini,na pia huduma kwa wateja haipatikani kwa miezi mitatu sasa,
a company with high reputation cant be cheap like this,who knows,posibly the second DECI.

Kwa kifupi huduma zote za elektroniki kifedha zina risk. Kuna hii huduma ya pesa fasta ya NMB ambayo kwa kawaida mtuma pesa na mtumiwa hutumiwa namba zinazomwezesha mpokeaji kutoa fedha kwenye ATM. Tarehe 30/11/2012 nilitima 70,000 kwenda na 0763565245 na mpokeaji kushindwa kuzitoa, hela Kilenza haikurudishwa kwenye akaunti yangu kama ilivyo utaratibu na badala yake napigwa Dana Dana na Bennie hadi Leo!
 
Wakuu m pesa haiko hivyo! Kama ni kuhusu jana hiyo imetokea karibu nchi nzima, na pesa zilikuwa zikirudi kwa wakala au mtumaji!
Hakuna pesa iliyopotea jana, ila kulikuwa na tatizo ktk jumbe za kuthibitisha hivyo kilichofanyika ni kuzirudisha ktk original account!
Kuhusu huduma kwa wateja, yawezekana haujawa updated na na namba sahihi za haraka!
 
Mi juzi sikugusa simu kabisa, na ilikua na sh 730 airtime, cha ajabu jioni nikakuta 480 nikajiuliza, kama wateja 1000,000, wamefanyiwa wizi huu, je mwizi anashilingi ngapi za airtime?

Aisee uyasemayo yana ukweli. Ndo kwanza nakumbuka kwamba jana wakati nalala nilikuwa na salio. But ile naamka ili nijiunge na cheka time nakuta kuna 0. Daa ngoja nipige huduma kwa wateja. Nisikie watanambiaje.
 
Wakuu m pesa haiko hivyo! Kama ni kuhusu jana hiyo imetokea karibu nchi nzima, na pesa zilikuwa zikirudi kwa wakala au mtumaji!
Hakuna pesa iliyopotea jana, ila kulikuwa na tatizo ktk jumbe za kuthibitisha hivyo kilichofanyika ni kuzirudisha ktk original account!
Kuhusu huduma kwa wateja, yawezekana haujawa updated na na namba sahihi za haraka!

Tena Nyie wazee wa JF mna Access na net ingieni kwenye facebook aut twitter like account ya Voda then unakuwa na uwezo wa kuandika tatizo lako lolote pale ukasaidiwa fasta tuu km namba 100 haipatikani
 
Huu ndio wakati muafaka wa mavuno kwa hackers.
.
 
....sasa unaanza politics wakati unambiwa ukweli na umeshaibiwa ??

Pole kaka ! Endelea na siasa....

MPESA au Mitandao mingine si benki...Hamna kumbu kumbu ya maandishi ambapo uliweka saini yako wakati unaweka au kutoa pesa

Kwa mitandao hii, unataiwa unaweka na kutoa pesa faster, si kuigeuza Beni ya Akiba !!
 
naomba watumiaji wa vodacom M pesa muwe makini inawezekana kampuni haina habari lakini nimepotelewa na Tsh. 65,000/- kwa kipindi cha wiki tatu, instalment mbili,mwanzo elfu kumi na tano,na jana elfu hamsini,na pia huduma kwa wateja haipatikani kwa miezi mitatu sasa,
a company with high reputation cant be cheap like this,who knows,posibly the second DECI.

Habari,I can help,send me a PM with your details.
 
pia nimepotelewa pesa takribani mara tatu na hiyo m_pesa na hata jana pia.nashangaa customer service ya voda imekuwa mbaya zaidi ya Tigo na simu hazipokelewi zaidi ya masaa na lugha zao ni mbovu kuliko wahudumu wa Airtel.Jamani tunaomba mtujali wateja kwani bila sisi nyinyi ni takataka.
 
ni rule of thumb kwamba "ngoma ikipigwa sana hupasuka" na "kila kitu kina mwishowe". sio vodacom ile ya enzi zile. au mfadhili ndo kaondoka na kila kitu chake!!!
 
Voda wanaboa. Leo shemeji yangu ameshindwa kusafiri kwenda mwanza kwa precision air baada ya kulipia tiketi then voda hawakumpa confirmation. Kaenda voda mlimani city wanapiga mboyoyo mpaka now hajapata hela yake na ndege ishasepa
 
pia nimepotelewa pesa takribani mara tatu na hiyo m_pesa na hata jana pia.nashangaa customer service ya voda imekuwa mbaya zaidi ya Tigo na simu hazipokelewi zaidi ya masaa na lugha zao ni mbovu kuliko wahudumu wa Airtel.Jamani tunaomba mtujali wateja kwani bila sisi nyinyi ni takataka.
Wewe huijui laana ya mtu mweusi akipata ajira anakuwa na mikogo, anafura na kujibu utumbo kuliko hata mmiliki wa kampuni mwenyewe; mimi ni mweusi lakini ukweli ndio huo hata kama haumezeki na inasemwa maskini akipata mat.a.k.o hulia mbwata
 
pia nimepotelewa pesa takribani mara tatu na hiyo m_pesa na hata jana pia.nashangaa customer service ya voda imekuwa mbaya zaidi ya Tigo na simu hazipokelewi zaidi ya masaa na lugha zao ni mbovu kuliko wahudumu wa Airtel.Jamani tunaomba mtujali wateja kwani bila sisi nyinyi ni takataka.

Send a PM with your details,will assist.
 
Back
Top Bottom